Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Inashangaza sana mkuuNimeiona hiyo "TBC uongo na uhakika " aisee nimetamani kulia kwani taifa linaenda wapi jamani?
Mkuu,Nimeiona hiyo "TBC uongo na uhakika " aisee nimetamani kulia kwani taifa linaenda wapi jamani?
"hatutawalinda" Aisee, very straight.sijaelewa wanaposema "hatutawlinda" wanamaanisha nini? kwamba hawatowalinda against who? je, ni hawatawalinda against the regime? hiyo lugha peke yake inaonyesha kabisa kwamba muelekeo ni mzuri hata kama siyo 7/7 lkn siajabu maandamano yatakayofwatila lugha itakuwa nyingine kwani jeshi sijawahi kusikia wakitumia lugha khiyo kwamba "hatutawalinda" ina maana kuna adui yetu na wanamjua hivyo ni swala la muda tu watakuwa apande wetu ...
Ni kweliHii ni dalili kwamba JWTZ kuna mgawanyiko. Mkuu wa Majeshi aheshimiwe. Wanasiasa wasitake kupaka matope jeshi letu kwa kutumia machawa waliopo Jeshini.
Wangekuwa wanalinda usalama wa wananchi na nchi 29/10 raia wasio na hatia wangewindwa kama wanyama? Vijana wanaotekwa kila siku na wengine kupotezwa mbona hawajitokezi kuwalinda?eshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza wito wowote unaohamasisha vurugu na uvunjifu wa amani, likisisitiza kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaohusika na vitendo hivyo.
Katika taarifa yake kwa umma, JWTZ imesema kuwa ina jukumu la kulinda usalama wa nchi na wananchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 pamoja na Sheria ya Ulinzi wa Taifa Sura ya 192.
Jeshi hilo limeeleza kuwa litaendelea kushirikiana na vyombo vya dola kukabiliana na matukio yoyote ya vurugu, ghasia na uvunjifu wa amani.
Aidha, wananchi wamehimizwa kutoa taarifa kwa viongozi wa vijiji, mitaa na vyombo vya ulinzi na usalama kuhusu viashiria vya uchochezi ili kudumisha utulivu nchini.
JWTZ pia limewahakikishia wananchi kuwa litaendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda mipaka, Katiba na mamlaka ya nchi sambamba na kushirikiana na wananchi katika kuimarisha amani, umoja na maendeleo ya taifa.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Kanali Sylvester Mangure.
JWTZ hawana nguvu tena zama hizi nakumbuka mwaka jana Kuna baazi ya wanajeshi waliteswa sana na police wasiokuwa na mafunzoeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza wito wowote unaohamasisha vurugu na uvunjifu wa amani, likisisitiza kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaohusika na vitendo hivyo.