JWTZ: Wasioitakia mema nchi yetu wanahamasisha kufanya vurugu, hatutasita kuchukua hatua

JWTZ: Wasioitakia mema nchi yetu wanahamasisha kufanya vurugu, hatutasita kuchukua hatua

hahahaah jeiwii ya kisasa! Nyerere angefufuka atazame vyombo vyake alivyoviunda na madude yao ya kisasa, maskini mzee wa watu yule, dah
 
Gen Z na Watanzania kwa ujumla sijui mnausoma mchezo kwa akili ya upembuzi??

Zamani kidogo, wakisikia maandamano walikuwa wanachimba mikwara kwa kutuma WANAJESHI NA POLISI KUFAGIA NA KUFANYA USAFI.

Kabla ya Mo29 strategy yao ya intimidation ilikuwa VIONGOZI KUTOA MATAMKO NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUFANYA MAZOEZI YA PAMOJA.

Kuelekea D9, POLISI NA WANAJESHI KUMWAGWA NA KUSAMBAZWA MITAANI.

Kuelekea 7/7 JESHI KUTOA TAMKO NA VITISHO.

Gen Z hamuoni tunashinda taratibu?????
Tuendelee kuwasoma mbinu zao mpaka mwisho wa siku tutawabananisha tu.

Tatizo naona hata hao wnaoratibu na kuhamasisha haya maandamano nao HAWANA AKILI. Wao wanachojua ni kuhamasisha maandamano, hawatoi taarifa za kiintelijensia, hawatoi mwongozo wa nini kifanyike wala hawatoi mbinu za kukabiliana na adui
Watoe mbinu ili wanajeshi wajipange, inatakiwa itoke ghafla bin Vuu tu😂
 
Hakuna kitu ni uoga tu, mnajisifia nini ? mmeshinda nini mafisi nyinyi
Wakenya wakisema wanaandama, wanakiwasha kweli na watu kadhaa wanakufa na bado kesho yake au mwezi ujao wanafanya kweli tena
Nyinyi ni mafisi, plain and simple
 
Back
Top Bottom