JWTZ: Wasioitakia mema nchi yetu wanahamasisha kufanya vurugu, hatutasita kuchukua hatua

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza wito wowote unaohamasisha vurugu na uvunjifu wa amani, likisisitiza kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaohusika na vitendo hivyo.

Katika taarifa yake kwa umma, JWTZ imesema kuwa ina jukumu la kulinda usalama wa nchi na wananchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 pamoja na Sheria ya Ulinzi wa Taifa Sura ya 192.

Jeshi hilo limeeleza kuwa litaendelea kushirikiana na vyombo vya dola kukabiliana na matukio yoyote ya vurugu, ghasia na uvunjifu wa amani.

Aidha, wananchi wamehimizwa kutoa taarifa kwa viongozi wa vijiji, mitaa na vyombo vya ulinzi na usalama kuhusu viashiria vya uchochezi ili kudumisha utulivu nchini.

JWTZ pia limewahakikishia wananchi kuwa litaendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda mipaka, Katiba na mamlaka ya nchi sambamba na kushirikiana na wananchi katika kuimarisha amani, umoja na maendeleo ya taifa.

Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Kanali Sylvester Mangure.

Hawa jamaa sio watu wa matamko, ni watu wa vitendo. Wameanza lini matamko?
 
Ndo maana walishikwa tako na m23. Mnaingiza machawa jeshini mnategemea nini kama sio kugeuza jeshi kuwa la mapunga kama hili la leo?

Tamko la kipumbavu sana hili. Bora wangesema wananchi watumie haki yao ya kikatiba kuandamana bila vurugu kuliko huo uharo wa kichawa. Eti kazi na utu. Fucking idiots.
 
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza wito wowote unaohamasisha vurugu na uvunjifu wa amani, likisisitiza kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaohusika na vitendo hivyo.

Katika taarifa yake kwa umma, JWTZ imesema kuwa ina jukumu la kulinda usalama wa nchi na wananchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 pamoja na Sheria ya Ulinzi wa Taifa Sura ya 192.

Jeshi hilo limeeleza kuwa litaendelea kushirikiana na vyombo vya dola kukabiliana na matukio yoyote ya vurugu, ghasia na uvunjifu wa amani.

Aidha, wananchi wamehimizwa kutoa taarifa kwa viongozi wa vijiji, mitaa na vyombo vya ulinzi na usalama kuhusu viashiria vya uchochezi ili kudumisha utulivu nchini.

JWTZ pia limewahakikishia wananchi kuwa litaendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda mipaka, Katiba na mamlaka ya nchi sambamba na kushirikiana na wananchi katika kuimarisha amani, umoja na maendeleo ya taifa.

Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Kanali Sylvester Mangure.

Hili liitwe jeshi la walanchi na siyo la wananchi kama ilivyo. Aibu. Shame on you JWTZ. Mnakera kwa kuusalaiti na kuutesa umma machawa nyie waliomo kwenye magwanda. Kumbaff kabisa.
 
At last kitu pekee kilichobakia kama tumaini kinaelekea kulekule. Wamevuruga kwingine sasa wananajisi chombo pekee tumaini la wanyonge.
Miaka ijayo Wanzania watakua na jeshi Kama la Congo endeleeni kuchezea jeshi kuna siku atatokea wazalendo wa chache jeshini ambao wanachukizwa na na hao wachache wananchi wakiwajua jua basi watapata sa port ya wananchi yanayoendelea utakua Uasi tunza hii comment
 
Kwa iyo mkuu unataka ulindwe na jeshi ukiwa unachoma na kuharibu mali za watu sioo??
Katiba ya nchi inasemaje?
maandamano yapo kwenye kale kakijibu?
je wewe umeonaje kama kutakuwa na uvunjifu wa amani na kuharibu mali wakati hata maandamano bado!

What is to be must be!
 
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza wito wowote unaohamasisha vurugu na uvunjifu wa amani, likisisitiza kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaohusika na vitendo hivyo.

Katika taarifa yake kwa umma, JWTZ imesema kuwa ina jukumu la kulinda usalama wa nchi na wananchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 pamoja na Sheria ya Ulinzi wa Taifa Sura ya 192.

Jeshi hilo limeeleza kuwa litaendelea kushirikiana na vyombo vya dola kukabiliana na matukio yoyote ya vurugu, ghasia na uvunjifu wa amani.

Aidha, wananchi wamehimizwa kutoa taarifa kwa viongozi wa vijiji, mitaa na vyombo vya ulinzi na usalama kuhusu viashiria vya uchochezi ili kudumisha utulivu nchini.

JWTZ pia limewahakikishia wananchi kuwa litaendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda mipaka, Katiba na mamlaka ya nchi sambamba na kushirikiana na wananchi katika kuimarisha amani, umoja na maendeleo ya taifa.

Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Kanali Sylvester Mangure.

Safi makamanda wetu wa kweli, akijipendekeza kima vunja kiuno
 
sijaelewa, wanaposema "hatutawlinda" wanamaanisha nini? kwamba hawatowalinda against who? je, ni hawatawalinda against the regime, au? hiyo lugha peke yake inaonyesha kabisa kwamba muelekeo ni mzuri hata kama siyo 7/7 lkn siajabu maandamano yatakayofwatila lugha itakuwa nyingine kwani jeshi sijawahi kusikia wakitumia lugha kama hiyo kwamba "hatutawalinda" ina maana kuna adui yetu na wanamjua hivyo ni swala la muda tu watakuwa upande wetu ...
We bwege, wamesema hawatawalinda watakaosababisha vurugu badala yake watawavunja viuno
 
Mi naswali why maandamano kila high season kwanini wasiandamane miezi kama 1 ,2,3,4 nyie mtakaoandamana mmetumwa bhana kuharibu high season. Maana uchumi unapandaga .
hamuoni kenya wameandamana kabla ya high season.

Na kwanini muandamane nini shida au bendera fuata mkumboo
 
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza wito wowote unaohamasisha vurugu na uvunjifu wa amani, likisisitiza kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaohusika na vitendo hivyo.

Katika taarifa yake kwa umma, JWTZ imesema kuwa ina jukumu la kulinda usalama wa nchi na wananchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 pamoja na Sheria ya Ulinzi wa Taifa Sura ya 192.

Jeshi hilo limeeleza kuwa litaendelea kushirikiana na vyombo vya dola kukabiliana na matukio yoyote ya vurugu, ghasia na uvunjifu wa amani.

Aidha, wananchi wamehimizwa kutoa taarifa kwa viongozi wa vijiji, mitaa na vyombo vya ulinzi na usalama kuhusu viashiria vya uchochezi ili kudumisha utulivu nchini.

JWTZ pia limewahakikishia wananchi kuwa litaendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda mipaka, Katiba na mamlaka ya nchi sambamba na kushirikiana na wananchi katika kuimarisha amani, umoja na maendeleo ya taifa.

Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Kanali Sylvester Mangure.

Jeshi badala ya kulinda nchi linalinda walarushwa, wezi wa kura eti jeshi la wananchi! Wanamwakilisha nani? Machawa na mafisadi au watanzania. Jeshi limechuja sana
 
Back
Top Bottom