JWTZ: Wasioitakia mema nchi yetu wanahamasisha kufanya vurugu, hatutasita kuchukua hatua

Mi naswali why maandamano kila high season kwanini wasiandamane miezi kama 1 ,2,3,4 nyie mtakaoandamana mmetumwa bhana kuharibu high season. Maana uchumi unapandaga .
hamuoni kenya wameandamana kabla ya high season.

Na kwanini muandamane nini shida au bendera fuata mkumboo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Ujinga huu!!

Kazi ya JWTZ ni kulinda mipaka ya Tanzania siyo kulinda mitaa ya ndani ya Tanzania. Ujinga huu ulianza wakati wa utawala wa Kikwete chini ya General Shimbo na sasa imekuwa muendelezo tu.

Usalama wa raia na mali zao ndani ya mipaka ya nchi ni kazi ya Polisi.
 
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza wito wowote unaohamasisha vurugu na uvunjifu wa amani, likisisitiza kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaohusika na vitendo hivyo.

Katika taarifa yake kwa umma, JWTZ imesema kuwa ina jukumu la kulinda usalama wa nchi na wananchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 pamoja na Sheria ya Ulinzi wa Taifa Sura ya 192.

Jeshi hilo limeeleza kuwa litaendelea kushirikiana na vyombo vya dola kukabiliana na matukio yoyote ya vurugu, ghasia na uvunjifu wa amani.

Aidha, wananchi wamehimizwa kutoa taarifa kwa viongozi wa vijiji, mitaa na vyombo vya ulinzi na usalama kuhusu viashiria vya uchochezi ili kudumisha utulivu nchini.

JWTZ pia limewahakikishia wananchi kuwa litaendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda mipaka, Katiba na mamlaka ya nchi sambamba na kushirikiana na wananchi katika kuimarisha amani, umoja na maendeleo ya taifa.

Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Kanali Sylvester Mangure.

Kwanza kaanza na salam ya kiccm pumbaf zake
 
1.Ubadhirifu wa Mali za umma mmenyamazia.( Rejea: Ripoti ya CAG)
2. Uvunjifu wa amani unaofanywa na ccm(utekaji, mauji ya wanasiasa, kuwakamata wanasiasa bila makosa, kuwateka na kuwauwa wanaojaribu kuwasemea wananchi) bado mmenyamazia.
Mmeshajitoa kwenye sifa ya kuitwa jeshi la wananchi, Kwa Sasa ni jeshi la ccm.
 
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza wito wowote unaohamasisha vurugu na uvunjifu wa amani, likisisitiza kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaohusika na vitendo hivyo.

Katika taarifa yake kwa umma, JWTZ imesema kuwa ina jukumu la kulinda usalama wa nchi na wananchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 pamoja na Sheria ya Ulinzi wa Taifa Sura ya 192.

Jeshi hilo limeeleza kuwa litaendelea kushirikiana na vyombo vya dola kukabiliana na matukio yoyote ya vurugu, ghasia na uvunjifu wa amani.

Aidha, wananchi wamehimizwa kutoa taarifa kwa viongozi wa vijiji, mitaa na vyombo vya ulinzi na usalama kuhusu viashiria vya uchochezi ili kudumisha utulivu nchini.

JWTZ pia limewahakikishia wananchi kuwa litaendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda mipaka, Katiba na mamlaka ya nchi sambamba na kushirikiana na wananchi katika kuimarisha amani, umoja na maendeleo ya taifa.

Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Kanali Sylvester Mangure.

Eti Kazi na Utu...
Hii si ni kauli ya Kisiasa kabisa?
Majinga haya
 
Msije kusema hamkuambiwa, haya akili kukichwa
Andamaneni chumbani kwenu na mke wako, mkitoka mitaani kufanya vurugu na lolote baya liwakute
 
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza wito wowote unaohamasisha vurugu na uvunjifu wa amani, likisisitiza kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaohusika na vitendo hivyo.

Katika taarifa yake kwa umma, JWTZ imesema kuwa ina jukumu la kulinda usalama wa nchi na wananchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 pamoja na Sheria ya Ulinzi wa Taifa Sura ya 192.

Jeshi hilo limeeleza kuwa litaendelea kushirikiana na vyombo vya dola kukabiliana na matukio yoyote ya vurugu, ghasia na uvunjifu wa amani.

Aidha, wananchi wamehimizwa kutoa taarifa kwa viongozi wa vijiji, mitaa na vyombo vya ulinzi na usalama kuhusu viashiria vya uchochezi ili kudumisha utulivu nchini.

JWTZ pia limewahakikishia wananchi kuwa litaendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda mipaka, Katiba na mamlaka ya nchi sambamba na kushirikiana na wananchi katika kuimarisha amani, umoja na maendeleo ya taifa.

Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Kanali Sylvester Mangure.

Utulizaji wa ghasia ndani ya nchi ni kazi ya jeshi la JWTZ? Haya ndiyo madhara ya kusiasisha vyombo vya ulinzi.
 
Alfajiri Leo sa 10 nipozangu mbezi stendi ya nje nimekutana na kadada Moja tumeangaliana sana nimegundua wapesambazwa wengisana informer
 
Back
Top Bottom