JWTZ yaonya wanaovaa sare zake

JWTZ yaonya wanaovaa sare zake

Lakini hoku hazitumii ktk kuibia watu, kufanyia ujambazi, na sio kila kinachofanyika Marekani na ulaya kinafaa kukifuata.

Tatizo la la wizi ni kushindwa kwa MFUMO hasa wanaohusika na USALAMA, sio mavazi! MAJANGILI NAO wanavaa sare za Wanyamapori ??? Na Magaidi wanava sare gani?
 
Soma hii itasaidia.
 
Attachments

  • 1406148815732.jpg
    1406148815732.jpg
    103.4 KB · Views: 377
Haya ndio matatizo ya nchi masikini, kuvaa mavazi kama ya jeshi nako kuna sheria? Sheria zilizopitwa na wakati ni ishara ya udhaifu wa uongozi. Kama vazi limekuwa kitambulisho si waseme basi? Wamekalia kuangalia mambo ambayo hayana tija kwa raia lakini mambo ya msingi wanayakwepa mathalani vifurushi vya binadamu ambavyo vinatupwa hovyo hadharani? Wizi uliokubuhu unaoendeshwa kutoka Magogoni. Uporaji wa rasilimali za nchi na wageni ambao wanaingia holela na kufanya wanavyotaka. Rais dhaifu matokeo yake ndio haya. Mlisema Mwinyi alikuwa dhaifu mzee wa Rukhsa ambaye ndiye aliyekaleta haka kajambazi kanakotusumbua.
 
Duh! Ungekuwa rais ungeruhusu kila mtu avae tu! Nchi gani wanaruhusu?!
 
Nchi yenye viongozi wapuuzi na wajinga hufikiria upuuzi muda wote.
Jeshi laTanzania linazalisha nguo ya aina yoyote? Wanaolipua mabomu kila uchwao huwa wamevaa magwanda?
Ni ujinga sana, kuwa na fikra finyu kiasi hiki.
 
Ww mwny fikra pana kuliko hao viongozi umechangia nini zaidi ya matusi hapa jf?
 
jana nmemwona askal mmoja majengo kalewa na amempa kjana kofia ya Jwtz huku ana mwambia imekutoa chicha iliumia muno nlijarbu kumsogelea nsome japo. jn alikua ametoa mi nashaur yachonewe kabsa kubandika ni uhun mkubwa
 
Watakuwa mateja, askari aliyekesha siku 42 bila kulala hawezi fanya hiyo kitu. Ulitakiwa uite polisi wawakamate.
 
warabn huwez amin ila dah nlmpgia mp akanambia yuko kambin nkashndwa kufanya lolote
 
Wangejaribu kutuambia madhara yake tungewaelewa,maana kabla ya Kikwete, kukutwa na bendera ya Taifa ilikuwa ni kosa kubwa,lakini leo ni ruhsa maana inachochea uzalendo.Ni vyema viongozi wawe makini kabla ya kutoa maamuzi kama haya,isije ikawafanya polisi nao wakapiga marufuku raia kuvaa nguo za rangi ya khaki na nyeupe wanazovaa traffic police
 
hao wansjeshi bado wana mambo ya kizamani badala wsongele mambo ys msingi wao ni kuhusu sare zao, mijitu ya ajabu sana
 
Tatizo la la wizi ni kushindwa kwa MFUMO hasa wanaohusika na USALAMA, sio mavazi! MAJANGILI NAO wanavaa sare za Wanyamapori ??? Na Magaidi wanava sare gani?

100% kweli tupu....wavivu wa kufikiri hukimbilia utetezi hafifu kutetea mapungufu yao.Askari wangapi wamekamatwa live kwenye matukio ya ujambazi na uhalifu?Nchi hii huwezi kupata hata bendera ya Taifa lako kuonyesha uzalendo...nayo utaitumia kwenye ujambazi?eeh Mungu leta Tanganyika...
 
Changia mada ya sare za jeshi na siyo bendera! Katika hali halisi, mtu yeyote asiye na taaluma ya kitengo akiachiwa afanye atakavyo ni mara nyingi hufanya maajabu yanayozidi hata ya firauni. Mateja, majambazi na wahalifu wanapenda kutumia nguvu ndio wanaopenda vazi la kombati. Wengine ni viherehere wanaopenda waonekane lkn hakuna mtu mwny heshima asiye mwanajeshi atavaa nguo hiyo. Wengi wanaotetea hapa kuvaa sare ni wafanyabiashara wa nguo hizo na hayo makundi niliyoyataja. Nisahihishe km nimekosea. Hata hivyo kuna upofu wa akili kuwalaumu wanajeshi wkt sheria ya ulinzi na. 99 iliyotungwa na bunge ambako wengi ni raia ipo ktk mitandao. Bora km inawakera mrudi kwa wabunge wenu muwaambie wakienda mjengoni wairekebishe ili waruhusiwe kuvaa yeyote, km hamjarudi hapa kupiga kelele.
 
Ni kweli. Kama mtu amelipenda vazi lao si aende kambini tujue moja...
Pale ubungo yamemwagwa mabuti yao yanauzwa mchana kweupe ina maana hawapitii pande hizo au wanasubiri mtu akishavaa ndo waonyeshe undava wao?
 
hao wansjeshi bado wana mambo ya kizamani badala wsongele mambo ys msingi wao ni kuhusu sare zao, mijitu ya ajabu sana

Vaa sasa hizo nguo ndo utajua kama sisi ni waajabu au vipi.Tutakunyoosha tu.
 
Vaa sasa hizo nguo ndo utajua kama sisi ni waajabu au vipi.Tutakunyoosha tu.

Sasa mwanajeshi wewe, unasubiri watu wavae kwanza ndiyo uwaonyeshe au ilitakiwa kuwaelimisha watu kuhusu hili.??
Kule vijijini watu hawana nguo na wala sidhani kama ni wote wanaelewa kuvaa hii nguo ni kosa au si kosa ingawaje sheria ni msumeno haijalishi unajua au hujui.
Mfano: zamani tulikuwa tunaambiwa shuleni au nyumbani na hata mtaani kwamba usikae kwenye reli, kwenye reli ukiweka sindano inaangusha treni kwa hiyo hatukuwa tunadhubutu kuweka kitu chochote au kukaa kwenye reli.
Same apply kwa hili la nguo za jeshi elimu ipelekwe kwa raia through all media, shule makanisani misikitini mikutanoni n.k
 
Acheni ubishi usio na tija, Vaeni basi na sare za wanafunzi wa primary tujue mnapenda sare.
 
Mbona wale wasanii wa wamarekani Terence J na Chakazuru walioletwa na Jk walivaa nguo za jeshi walipokua serengeti? Basi kikwete nae kavunja sheria mkamateni.

Hahaha hii nimeipenda lol!
 
Back
Top Bottom