Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Tatizo la wanajeshi wengi ni shule, misuli mingiii ubongo kisoda.
Watanzania bwana kila mtu anajiona ni msomi, lakini kama msomi hana mchango wowote kwa taifa, pamoja na usomi wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la wanajeshi wengi ni shule, misuli mingiii ubongo kisoda.
Unaongelea wanaoshinda wanafyeka majani pale Lugalo?? Jamaa kasema kweli...wanajeshi wengi wanatumia nguvu tu kufikiri kwa kina ni sufuri...
Mkuu, kijiji ulichopo ni moja ya vijiji vichache Tanzania ambapo ufahamu wa sheria ya vifaa na mavazi ya jeshi upo juu, sehemu zingine hawajui kitu.
Inaonekana hata hujui kuhusu vijiji. Nenda popote, kila mtu anajua vazi la kijeshi. Tz nzima tulieneza mgambo kwa hiyo kijiji kisichojua. Watu waliokulia mijini ndo wanafikiri vijijini hawajui kumbe ndo werevu na watekelezaji wa sheria kuliko popote!
Na wao wasivae sare za raia.., wavae hizo hizo za kwao.., tusiingiliane kabisa.
Huku ni Tanzania sio Marekani na sheria za kwao zinaruhusu kwetu sheria haziruhusu kuuza wala kuvaa nguo za jeshi kwa mtu asiyehusika. Imeeleweka hiyo!?Kuvaa mfananio na jeshi huwahamasisha vijana kupenda jeshi toka utotoni. Marekani ni ruksa kuvaa toka umri mdogo ndio maana huchangamkia kujiunga na jeshi wakati wa vita.
Wasanii wa marekani mfano Rihanna ni ruks kuvaa vya jeshi, wacheza sinema wa Hollywood nao ni ruksa. Si mmeona picha za akina Shwazznegaer . Hawa huruhusiwa kutumia mpaka ndege za Kivita (Top Gun) na vifaru. Wasani hukuza uchumkhiv
Watanzania bwana kila mtu anajiona ni msomi, lakini kama msomi hana mchango wowote kwa taifa, pamoja na usomi wake.
umeamua kunifurahisha wewe, haya bana wacha nicheke hahaahaahaa, uwe na siku njema basi!!![/QUOTEwanajeshi wote ni raia ila so raia wote ni wanajeshi. kwahiyo mwanajeshi anavaa nguo zote za kiraia na za kijeshi
Kwanza hata hizo za jeshi zenyewe hazipendezi sanasana ni watoto, mateja na
wavuta bangi wanaonyanyua chuma ndo huzipenda.
Mkuu jitahidi usome maelezo kwanza na uelewe ndipo uijibu hoja, maana hukutakiwa kuniandikia Mimi Maelezo yako. Tafadhari hebu rudi kule juu usome kwanza maelezo ya niliyemreply, alafu soma ndipo usome maelezo ya kwangu kuna kitu utagundua.Wanajeshi wanafikiria kijeshi, wewe usomi wako na uprofesa wako huko huko chuoni, jeshini na amri na nidhamu ya kijeshi tu, mwanajeshi hafikirii kiraia raia wao wanafikiria kimkakati zaidi ndio mana kule jeshini unatolewa uraia na ubinafsi unapewa akili ya kijeshi na ku think strategically
Ngoja tuone jeshi la marekani kuhusu uvaaji wa sare za kijeshi
Kama kila kinachofanywa na wamerekani kizuri, kuna siku mtaishauri Serikali wawatambue mashoga kama wao.
na sisi usalama, hatutaki kuona RAIA wamevaa Kaunda suit..hilo ni kosa
Kama kauli imetolewa na JWTZ maana yake ni nini? Je, JWTZ wana uwezo kisheria kutoa kauli? Je hizo power za kutoa kauli kama hiyo ni sahihi? Na kama ni sahihi Je, ni halali?
Ninavyofahamu mimi Tanzania haiko chini ya sheria za kijeshi na kumbukumbu zangu zinanifanya niwe na mashaka na uelewa wako maana ni hawa hawa Wanajeshi ambao tunasikia wanawapiga raia bila sababu zozote za msingi na hawafanywi chochote. Je, Jeshi la Tanzania limeshindwa kuwa na nidhamu? Kama wanataka kuingilia mambo ya kutunga sheria za nchi hii wajikite kwenye siasa waondoke kwenye makambi ambako tumewawekea sheria zinazowalinda.
Hawa wanajeshi wanaachiwa kutoa kauli kama hizi ambazo hazina kichwa wala mkia sio competent kwenye nyanja zao ndio sababu wanajikita katika mambo yasiyowahusu. Swala la ulinzi na usalama wa raia ndani ya nchi ni jukumu la polisi kama polisi wameshindwa tuna jukumu la kulivunja jeshi la polisi na kuunda taasisi ambayo mosi haiwakandamizi raia wake wanaolipa kodi kwa wao kuwa pale na pili kulinda maslahi ya raia wake na rasilimali zao.
Ngoja waje wakujibu kwa sababu una mapungufu ya sheria na hata tu taratibu za mifumo ya uendeshaji nchi hujui. Lkn ngoja nikusaidie kidogo. Jeshi limetoa kauli ya iliyomo ktk sheria za nchi. Ukifanya utoto wa kukiuka unakamatwa na yeyote hata km ni raia unakabidhiwa sehemu sahihi ya kukushughulikia (polisi?) Baadaye unakwenda mahakama za kiraia..... ngoja waje wenyewe wakupe!