JWTZ yaonya wanaovaa sare zake

JWTZ yaonya wanaovaa sare zake

42 days, no anger, reasoning and stability, act from within not by responding to the outer "provocative" blanks!!!

Some people are made to be fixed by the same reactions against their actions. They understand better when you go down to their kneels rather than showing them the differences between dark and light. I use ass languages rarely and after a number of warning shots. Thanx bro, lets get where we belong!
 
"cover mine; i cover yours till dawn"!!!!

Thanx chief!!!
 
Huku ni Tanzania sio Marekani na sheria za kwao zinaruhusu kwetu sheria haziruhusu kuuza wala kuvaa nguo za jeshi kwa mtu asiyehusika. Imeeleweka hiyo!?

Too much "DONTs". Wenzetu wanarejelesha sheria zote hata Nyimbo za Taifa zinaandikwa upya na; mabango na maneno na sanamu ya kidini kuondolewa kwenye majumba ya kiserikali kukidhi kizazi kipya.

Mkuu! Basi mngetuwekea picha za aina, rangi na design za mavazi yanayokatazwa tuelimike vizuri
.
 
Juzi kwenye daladala nilikuta na mshikaji amevaa kiraia (Anaonekana laini na legevu hawezi kuwa ni mjeda).., sasa begi lake la mkanda la kuvaa bega moja lilikuwa na rangi za kijeshi pure kabisa.., sasa jee kwani begi sio vazi..??! coz mavazi tumeshapewa onyo kali sana mpaka naogopa!
 
vaa tuu mbona mi nimevaa najuzi nimepita toka tabata hadi kigogo free tuu...
 
Mbona za polisi hazivaliwagi!!!?

Hazina deal.unaonekana mganga njaa mkimbiza mamantilie na wanywa gongo.kwa kifupi hazina heshima mbele ya jamii kama za jwtz!!ndo mana hats watoto Wa shule hawawapishi seat ktk daldala
 
mimi nilikuwa nauliza tu, kwa nini wanasubiri mpaka mtu avae ndio wamburuze, mbona dukani na mitumbani zipo, tena kama ndiyo yananing'inia nje nje na hawaendi kukamata?
 
Huyu ni mwanajeshi?

attachment.php
 
Attachments

  • Sare.JPG
    Sare.JPG
    49.3 KB · Views: 1,023
Mbona za polisi hazivaliwagi!!!?

Duh!! Hizi zina sumu yake sijui raia anaanzaje kujipimp na kile kivazi cha jungle green chenye vibaka vyekundu mabegani...ila hatasahau shurba na kichapo chake!! Ghasia wana ghasia saana.
 
Heshima.....!

Polisi na soldier ni viumbe viwili tofauti sana linapokuja suala la respect..

Hili swali najua hata wewe linakusumbua sana,ila umelijibu kienyeji mno,kama swala ni heshima,kwa kuzivaa nguo za jwtz na kuacha za polisi nani kaonekana yuko poa hapo?,na ni wa kumzoea zoea hovyo hovyo?.
 
Hazina deal.unaonekana mganga njaa mkimbiza mamantilie na wanywa gongo.kwa kifupi hazina heshima mbele ya jamii kama za jwtz!!ndo mana hats watoto Wa shule hawawapishi seat ktk daldala

Kuna sababu zaidi ya hizo,umiza kichwa tena utaziona.
 
Kuvaa mfananio na jeshi huwahamasisha vijana kupenda jeshi toka utotoni. Marekani ni ruksa kuvaa toka umri mdogo ndio maana huchangamkia kujiunga na jeshi wakati wa vita.

Wasanii wa marekani mfano Rihanna ni ruks kuvaa vya jeshi, wacheza sinema wa Hollywood nao ni ruksa. Si mmeona picha za akina Shwazznegaer . Hawa huruhusiwa kutumia mpaka ndege za Kivita (Top Gun) na vifaru. Wasani hukuza uchumkhiv

Kwa hiyo "umekopi"marekani halafu uka-"paste"-ia Bongo au siyo? Je.. Sheria na katiba ya Marekani ni sawa na Bongo? Nadhani kabla hujaandika jambo jaribu kwanza kuchekecha unongo wako. Halafu mbona shatupendi kuvaa kama za mgambo hivi?
 
Back
Top Bottom