Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,605
- 1,085
Lakini hoku hazitumii ktk kuibia watu, kufanyia ujambazi, na sio kila kinachofanyika Marekani na ulaya kinafaa kukifuata.
Haya ndio matatizo ya nchi masikini, kuvaa mavazi kama ya jeshi nako kuna sheria? Sheria zilizopitwa na wakati ni ishara ya udhaifu wa uongozi. Kama vazi limekuwa kitambulisho si waseme basi? Wamekalia kuangalia mambo ambayo hayana tija kwa raia lakini mambo ya msingi wanayakwepa mathalani vifurushi vya binadamu ambavyo vinatupwa hovyo hadharani? Wizi uliokubuhu unaoendeshwa kutoka Magogoni. Uporaji wa rasilimali za nchi na wageni ambao wanaingia holela na kufanya wanavyotaka. Rais dhaifu matokeo yake ndio haya. Mlisema Mwinyi alikuwa dhaifu mzee wa Rukhsa ambaye ndiye aliyekaleta haka kajambazi kanakotusumbua.
Nchi yenye viongozi wapuuzi na wajinga hufikiria upuuzi muda wote.
Jeshi laTanzania linazalisha nguo ya aina yoyote? Wanaolipua mabomu kila uchwao huwa wamevaa magwanda?
Ni ujinga sana, kuwa na fikra finyu kiasi hiki.
jana nmemwona askal mmoja majengo kalewa na amempa kjana kofia ya Jwtz huku ana mwambia imekutoa chicha iliumia muno nlijarbu kumsogelea nsome japo. jn alikua ametoa mi nashaur yachonewe kabsa kubandika ni uhun mkubwa
Tatizo la la wizi ni kushindwa kwa MFUMO hasa wanaohusika na USALAMA, sio mavazi! MAJANGILI NAO wanavaa sare za Wanyamapori ??? Na Magaidi wanava sare gani?
100% kweli tupu....wavivu wa kufikiri hukimbilia utetezi hafifu kutetea mapungufu yao.Askari wangapi wamekamatwa live kwenye matukio ya ujambazi na uhalifu?Nchi hii huwezi kupata hata bendera ya Taifa lako kuonyesha uzalendo...nayo utaitumia kwenye ujambazi?eeh Mungu leta Tanganyika...
Pale ubungo yamemwagwa mabuti yao yanauzwa mchana kweupe ina maana hawapitii pande hizo au wanasubiri mtu akishavaa ndo waonyeshe undava wao?Ni kweli. Kama mtu amelipenda vazi lao si aende kambini tujue moja...
hao wansjeshi bado wana mambo ya kizamani badala wsongele mambo ys msingi wao ni kuhusu sare zao, mijitu ya ajabu sana
Vaa sasa hizo nguo ndo utajua kama sisi ni waajabu au vipi.Tutakunyoosha tu.
Mbona wale wasanii wa wamarekani Terence J na Chakazuru walioletwa na Jk walivaa nguo za jeshi walipokua serengeti? Basi kikwete nae kavunja sheria mkamateni.
Tatizo la wanajeshi wengi ni shule, misuli mingiii ubongo kisoda.