Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wao wasivae sare za raia.., wavae hizo hizo za kwao.., tusiingiliane kabisa.
Haya ndio matatizo ya nchi masikini, kuvaa mavazi kama ya jeshi nako kuna sheria? Sheria zilizopitwa na wakati ni ishara ya udhaifu wa uongozi. Kama vazi limekuwa kitambulisho si waseme basi? Wamekalia kuangalia mambo ambayo hayana tija kwa raia lakini mambo ya msingi wanayakwepa mathalani vifurushi vya binadamu ambavyo vinatupwa hovyo hadharani? Wizi uliokubuhu unaoendeshwa kutoka Magogoni. Uporaji wa rasilimali za nchi na wageni ambao wanaingia holela na kufanya wanavyotaka. Rais dhaifu matokeo yake ndio haya. Mlisema Mwinyi alikuwa dhaifu mzee wa Rukhsa ambaye ndiye aliyekaleta haka kajambazi kanakotusumbua.
!
!
wansjeshi washamba tu nao....wananajiona eksepsheni mno
Msisitizo uliwekwa hapa katika vifungu vya sheria ni kwamba sio lazima ukutwe na sare ambazo zinatumiwa na JWTZ. Hasha!. Hapa sheria inasema hata kama tu nguo hiyo itaelekea kufanana kwa namna yoyote ile na sare za JWTZ, ni kosa la kisheria kuitumia, ilisema taarifa ya Jeshi kwa vyombo vya habari.
![]()
sio mimi yule ni mwanafunzi wangu...
Hahahaaaa... Hivi ile kesi iliiishia wapi mkuu?? Afu ni kweli au alibambikiwa?
Yaani wewe ni kichaa kabisa,, kwa hiyo ungekuwa rais ungeruhusu nguo za jeshi kuvaliwa hovyo? Sio lazima uchangie mada kama huna hoja za msingi wewe kaa kimya!!
Msivae sare hizi! Mngejua mpaka tunavaa hizi??? Yaani???
Ni kweli wao ni eksepsheni kwani wewe hutaki? Kama unabisha njoo home nikupe gwanda la kombati nilitoa mtumbani ili uwe unavaa kama unaweza lkn?
!
!
mafala tu hawana lolote, kazi kutwa nzima kucrow kufyekafyeka majani na kupiga push up tu hawana kazi za kufanya na ndio maana wanajikuta wanazinguana na raia. Wanajeshi nchi nyingine wako katika mambo makubwa ya maendeleo huku wamekalia gongo na bange mwishoni wakistaagu wanakuwa walinzi. Mbwa kabisa hao. Wanaona bora sare zao zikakatikiwe mauno stejini kuliko mtu kuvaa tena isitoshe unakuta umevaa imeandikwa kabisa US ARMY ila bado wanakomaa. Senge mno.
Duh!! Hizi zina sumu yake sijui raia anaanzaje kujipimp na kile kivazi cha jungle green chenye vibaka vyekundu mabegani...ila hatasahau shurba na kichapo chake!! Ghasia wana ghasia saana.
Taarifa hiyo ilitolewa na Kurugenzi ya Habari na Mahusiano, Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es Salaam, jana. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mtu yeyote yule asiye na ruhusa ya kushona, kuuza au kuingiza nchini sare za jeshi, atakuwa ametenda kosa, hivyo atafikishwa mahakamani.
Na wao wasivae sare za raia.., wavae hizo hizo za kwao.., tusiingiliane kabisa.