Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Chenga ndio kama hizo mara msogeze pwani alafu anabundaWe si ulisemq jamaa yako wa ikuru tayari kashasababisha tena ukasema sijui mdogo wake demu wako..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] et umsogeze pwqni...... Duuuh we jamaa unataka uvute watu uwapige so bure....na atakayejichanganya tayar mtu mwenye connection hawezi akajitangaza hivi hadharani kila day
mze wa ikulu haueleweki ulisema kasharekebisha unaenda ccp ila had leo bado upo humuChenga ndio kama hizo mara msogeze pwani alafu anabunda
By the way sinaga uvumilivu soon nitaanza kumlalamikia
Always huwa nawapambania ndugu zangu ndio waingie kwenye vyombo vya ulinzi mm ni mechanical engineer na nilishapata job kitambo kidogomze wa ikulu haueleweki ulisema kasharekebisha unaenda ccp ila had leo bado upo humu
hamna kitu hapa anabwabwaja tu.Inauma saana mtu una sifa zote alafu ukakosa nafasi bad enough unasikia kuna mtu analeta habari za "jamaa wa ikuru"
Ushauri kwenu
Connection zinaundwa kwa nidhamu sio pesa
RPC kapunwa 1.5 milioni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeAsee umenikumbusha mbali sana Komsanga,duty free na kijijini kwa wamang'ati[emoji16]
Time flies so fast[emoji119]
Kufa sasahamna kitu hapa anabwabwaja tu.
au watu wanapigiwa simu kimya kimya😂Vipi huku, au mmesha acha nyoya kimya kimya?
Alafu wamekausha kimyaa Kama hamna kinacho endelea...au watu wanapigiwa simu kimya kimya😂
Hahaha Kuna watu watakuwa wanapigiwa simu kimya kimya afu hawatupi taarifa humu kwani vipi Kuna ata mmoja ameitwa atupe update humuAlafu wamekausha kimyaa Kama hamna kinacho endelea...
Kwamba hawatoi mrejeshoVipi huku, au mmesha acha nyoya kimya kimya?
Kimya kimya Kama ngwea hakuna hata mmojaHahaha Kuna watu watakuwa wanapigiwa simu kimya kimya afu hawatupi taarifa humu kwani vipi Kuna ata mmoja ameitwa atupe update humu
Kuwa makini sana Kuna matapeliInauma saana mtu una sifa zote alafu ukakosa nafasi bad enough unasikia kuna mtu analeta habari za "jamaa wa ikuru"
Ushauri kwenu
Connection zinaundwa kwa nidhamu sio pesa
RPC kapunwa 1.5 milioni
[emoji23] kwa hiyo anawapanga wanamze wa ikulu haueleweki ulisema kasharekebisha unaenda ccp ila had leo bado upo humu
Kuweni makini sana aiseWe si ulisemq jamaa yako wa ikuru tayari kashasababisha tena ukasema sijui mdogo wake demu wako..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] et umsogeze pwqni...... Duuuh we jamaa unataka uvute watu uwapige so bure....na atakayejichanganya tayar mtu mwenye connection hawezi akajitangaza hivi hadharani kila day
ni kweli kabisa bila connection utabakia na vyeti vyako vya jakata.... af watu hata jakata hawajapita af haoo wanapita tu.Kama huna coonection haya mambo hata uwe na sifa 200 hutoboi nakwambia ni ngum uwe na sifa za jkt miak miwil au huna mzee kwasasa ins short uta suffer subir waje na mrejesho wa mujibu au mtaani utawakut uko uko kikubwa nikuomba mungu ila sio kujipa vyeo nilipita huku au kule
Fafanua kidogo hapa, vetting na barring kivipiOfficially jamaa wa ikuru alimaliza mchezo hapa mchawi vetting and barring tu