JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

We si ulisemq jamaa yako wa ikuru tayari kashasababisha tena ukasema sijui mdogo wake demu wako..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] et umsogeze pwqni...... Duuuh we jamaa unataka uvute watu uwapige so bure....na atakayejichanganya tayar mtu mwenye connection hawezi akajitangaza hivi hadharani kila day
Chenga ndio kama hizo mara msogeze pwani alafu anabunda
By the way sinaga uvumilivu soon nitaanza kumlalamikia
 
Inauma saana mtu una sifa zote alafu ukakosa nafasi bad enough unasikia kuna mtu analeta habari za "jamaa wa ikuru"

Ushauri kwenu
Connection zinaundwa kwa nidhamu sio pesa
RPC kapunwa 1.5 milioni
Kuwa makini sana Kuna matapeli
 
We si ulisemq jamaa yako wa ikuru tayari kashasababisha tena ukasema sijui mdogo wake demu wako..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] et umsogeze pwqni...... Duuuh we jamaa unataka uvute watu uwapige so bure....na atakayejichanganya tayar mtu mwenye connection hawezi akajitangaza hivi hadharani kila day
Kuweni makini sana aise
 
Kama huna coonection haya mambo hata uwe na sifa 200 hutoboi nakwambia ni ngum uwe na sifa za jkt miak miwil au huna mzee kwasasa ins short uta suffer subir waje na mrejesho wa mujibu au mtaani utawakut uko uko kikubwa nikuomba mungu ila sio kujipa vyeo nilipita huku au kule
 
ni kweli kabisa bila connection utabakia na vyeti vyako vya jakata.... af watu hata jakata hawajapita af haoo wanapita tu.
 
Back
Top Bottom