Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
Ni kweli ndugu ila Bado hawajaita niamini Mimi.Ukwel ni kwamba wahuni walikuwa na nafac zao za ndugu na jamaa na marafik kam huna connection hii nchi ni janga na umasikini utakisir kikubwa ni kuukubal mtaa
Hahaha hawataamini ndio lakini bdo tunasubiri Ronja za Oljoro NduguKibaya zaidi hawatoamini Sababu jw hakuna pdf kama vyombo vyengine Ivo kila mtu anajipa moyo Bado hawajachukuliwa
Daaah huu ni ukweli mchungu Kaka urefu wa kamba yake kila mtuKila mtu atakula kutokana na urefu wa kamba yake boss
Ushawai kukutana na mlemavu akipiga koz pale Orjoro au Rts.... au mtu ambae hana Chet cha chakata ila yupo koz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Daaah huu ni ukweli mchungu Kaka urefu wa kamba yake kila mtu
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mmmh mlemavu ni uongo labda mwenye Hana cheti Cha Jax ata kwenye Blog Yao ukiingia kuona sifa za kujiunga hakuna cheti Cha Jax,, cheti Cha Jax kinakuja kuwekwa kwenye matangazo tuUshawai kukutana na mlemavu akipiga koz pale Orjoro au Rts.... au mtu ambae hana Chet cha chakata ila yupo koz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Kama umeamin hilo moja linawezekana bass amin hata hilo jingine linawezekana ndugu yanguMmmh mlemavu ni uongo labda mwenye Hana cheti Cha Jax ata kwenye Blog Yao ukiingia kuona sifa za kujiunga hakuna cheti Cha Jax,, cheti Cha Jax kinakuja kuwekwa kwenye matangazo tu
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Bila cheti inawezekana ila mlemavu sasa atapigaje shule labda kama anakipaji maalumu au elimu maalumuKama umeamin hilo moja linawezekana bass amin hata hilo jingine linawezekana ndugu yangu
hahahahaha nimecheka sanaJWTZ ni umeweka maisha rehani ikitokea vita huna uchaguzi, unapelekwa popote.
JKT ni kundi la wakulima na wafanyakazi wa jeshi, hawa watapelekwa vitani kusaidia kuchimba mitaro
Hahaha achana na jkt Ndugu pambana tu mtaa sema Nini kama unandugu makini sana waombe uende jwtz ila usipitie Jax utapoteza MudaNatamani Sana mwaka Huu kwenda JKT lakini Naona watu wanajilau mpaka nakata tamaa
Mzee sema hii kitu ya moja kwa moja tam bhana hii mambo ya kusema mambo ya mtu apitie jakata ndio aingie ndio mwanzo wa ukiritimba.....Hahaha achana na jkt Ndugu pambana tu mtaa sema Nini kama unandugu makini sana waombe uende jwtz ila usipitie Jax utapoteza Muda
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Shida mtu wakukuunga moja kwa moja jwtz kupatikanMzee sema hii kitu ya moja kwa moja tam bhana hii mambo ya kusema mambo ya mtu apitie jakata ndio aingie ndio mwanzo wa ukiritimba.....
Ila hiii inchi bhana hapa ndipo ninapo amin yaliyomo yamoShida mtu wakukuunga moja kwa moja jwtz kupatikan
Mzee sema hii kitu ya moja kwa moja tam bhana hii mambo ya kusema mambo ya mtu apitie jakata ndio aingie ndio mwanzo wa ukiritimba.....
Hao tanzania abroad wamepost leo ila hiyo alisema mwaka jana mwezi wa tisa sio mwaka huu
hii habari umescreenshot nusu...hujamalzia em soma apa[emoji1484]View attachment 2718213
Nazan vijan wameniamini kwamba hawa watu walishachukuliwa
Hahaha weweee nakubalii kwa update nzurii sana watu tulikuwa tunamcheka tuhii habari umescreenshot nusu...hujamalzia em soma apa[emoji1484]View attachment 2718245
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ah ah ah ah ah ahHahaha weweee nakubalii kwa update nzurii sana watu tulikuwa tunamcheka tu
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
sasa hii si alikuwa anafunga mafunzo intake ya 40 mkuu upo tz kweliView attachment 2718213
Nazan vijan wameniamini kwamba hawa watu walishachukuliwa