JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

Ushawai kukutana na mlemavu akipiga koz pale Orjoro au Rts.... au mtu ambae hana Chet cha chakata ila yupo koz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Mmmh mlemavu ni uongo labda mwenye Hana cheti Cha Jax ata kwenye Blog Yao ukiingia kuona sifa za kujiunga hakuna cheti Cha Jax,, cheti Cha Jax kinakuja kuwekwa kwenye matangazo tu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kama umeamin hilo moja linawezekana bass amin hata hilo jingine linawezekana ndugu yangu
 
Mzee sema hii kitu ya moja kwa moja tam bhana hii mambo ya kusema mambo ya mtu apitie jakata ndio aingie ndio mwanzo wa ukiritimba.....

IMG_1383.png

Nazan vijan wameniamini kwamba hawa watu walishachukuliwa
 
Back
Top Bottom