Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
Ni kweli ndugu ila Bado hawajaita niamini Mimi.Ukwel ni kwamba wahuni walikuwa na nafac zao za ndugu na jamaa na marafik kam huna connection hii nchi ni janga na umasikini utakisir kikubwa ni kuukubal mtaa
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app