Mr. I don Care
Member
- Nov 20, 2014
- 80
- 144
Nikushauri tu jitahidi kuomba pia nafasi ya kujitolea kupitia JKT kwa umri ulionao huo unaweza ukawa na sifa za kutosha ukiwa umefanya mafunzo ya kujitolea kwa angalau miaka miwiliImagine we ni wa mujibu una miaka 23 au 24 afu unayo degree yoyote ile, mfano Mimi na degree yang ya account and finance, then naziangalia nafasi kwa uchungu yaani dah. Au niombe tu liwalo na liwe Mungu mkubwa bana
Alafu Mujibu wa sheria na mtu aliyejitolea for mo than 2yrs hawalingani kivigezo kweli ajira ni changamoto lkn acheni wenye sifa hizo waende Kama na wewe una ndoto hizo jitahidi na wewe uwe na sifa hizo kamili guys kujitolea miaka 2 JKT narudia Tena kujitolea JKT kwa miaka miwili na zaidi paka kufikia ile hatua ya kulia mwisho si mchezo Wala si lelemama Tena mtu ambae ana taaluma afu anadumu kwenye hyo taasisi tuheshimu vigezo jaman.