RO7 ZA MGOS
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 2,018
- 5,752
Nafasi za mchongo zmetoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
op zilizo rudi nyumbani ni 3 tokea aingie uncle magu,,op magufuli,op merelani na op makao basiHapo waliopo kwenye Target ni wale Op Uchumi wa kati ambao walimaliza mikataba ila walikosa ajira before the Death of The Hon. JPM serikali ikapata kashfa nyingi za kuwaita waasi then baadaye wakarudishwa makambini na Op ikapewa jina samia. Kama una cheti cha jkt chenye hiyo sifa kopa hapa pesa nenda Dodoma utakuja kunishukuru..Done![emoji419]
Hao makao ndo target Makao Dodoma si ndo awali walibid wawe uchumi wa kati wa kujitolea kabla haijafutwa ile intakeop zilizo rudi nyumbani ni 3 tokea aingie uncle magu,,op magufuli,op merelani na op makao basi
Hapana mkuu ,op uchumi wa kati waliikuta op makao kama service wakarudishwa halafu walivorudi wakarudi kama op samia ambao ndio tumewaacha sahizi wamebakiza miez kadhaa wamalize mkataba naoHao makao ndo target Makao Dodoma si ndo awali walibid wawe uchumi wa kati wa kujitolea kabla haijafutwa ile intake
Ohk Ohke ndio ndio ndio boss kwelHapana mkuu ,op uchumi wa kati waliikuta op makao kama service wakarudishwa halafu walivorudi wakarudi kama op samia ambao ndio tumewaacha sahizi wamebakiza miez kadhaa wamalize mkataba nao
Bachelor ya Shipping na nini?vip Kwa wale ambao hawana Cheti cha jkt na wanakata kujiunga na jeshi hivi ina wezekana Yan Mim nipo mtaani natafuta Sana vibarua Ila ime kuwa ngumu wakubwa so nime waza niapply nafasi hio ya jwtz lakin Cheti Cha jkt sina Nina form 4,6 na bachelor ya shipping ki umri nina miaka 23 now ..vip wakuu Nita fanikiwa kweli
JWTZ ni umeweka maisha rehani ikitokea vita huna uchaguzi, unapelekwa popote.
JKT ni kundi la wakulima na wafanyakazi wa jeshi, hawa watapelekwa vitani kusaidia kuchimba mitaro
Kwa ufupi ni marehemuPasipo kubagazq hadhi na utu wa watu, JWTZ ni defence force ya nchi hii na JKT ni kamandi ndani ya JWTZ.
Fafanua MkuuKwa ufupi ni marehemu
Andika kiswahili haina shida mkuuhivi wakuu hapa barua iandikwe kwa kiswahili au lugha ya kiingereza, ushauri nyie mnaonaje
n.b. sina vigezo vyote msidhani ninavyo ni vile naomba huku nikitanguliza mungu mbele, musa alipewa kibari cha kuongoza wana wa israel na hakuwa na uwezo wa kuongea vizuri, Je mimi ni nan
Mbona umeongea kwa makasiriko sanaTunatengeneza Jeshi la vilaza (Kuna Vigezo havina mashiko kabisa)
1- Upuuzi wa JKT kuanzia (Mujibu na kuendelea)
2- Upuuzi wa Umri
3- Upuuzi wa kutoweka msisitizo ktk vipaji maalumu (Potentiality)
Jeshi linatakiwa lisukwe na watu wenye akili changamfu na sio wajinga wajinga
Mapema sana lakini uchonge na leaving certificate na chet Cha darasa la saba pia maana vyote vinaonyesha umriHapo labda kwenda kuchonga cheti Cha kuzaliwa kingine tu[emoji2]
Umenena mkuu upo sahihiHapo waliopo kwenye Target ni wale Op Uchumi wa kati ambao walimaliza mikataba ila walikosa ajira before the Death of The Hon. JPM serikali ikapata kashfa nyingi za kuwaita waasi then baadaye wakarudishwa makambini na Op ikapewa jina samia. Kama una cheti cha jkt chenye hiyo sifa kopa hapa pesa nenda Dodoma utakuja kunishukuru..Done![emoji419]