Zee la Kazi
JF-Expert Member
- Mar 5, 2023
- 334
- 624
Pinned Big📌Umenena mkuu upo sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pinned Big📌Umenena mkuu upo sahihi
Ilianza op kikwete,ikaja magufuli,ikafatia makao makuu ikaja uchumi wa kati,uchumi wa kati wanaelekea kutoboaHapo waliopo kwenye Target ni wale Op Uchumi wa kati ambao walimaliza mikataba ila walikosa ajira before the Death of The Hon. JPM serikali ikapata kashfa nyingi za kuwaita waasi then baadaye wakarudishwa makambini na Op ikapewa jina samia. Kama una cheti cha jkt chenye hiyo sifa kopa hapa pesa nenda Dodoma utakuja kunishukuru..Done![emoji419]
Wote tutakufaKwa ufupi ni marehemu
asante mkuu ni bachelor ya shipping and logistics managementBachelor ya Shipping na nini?
Jaribu kutuma pia omba Sana Mungu lolote lile zuri laweza tokea.
Ruka nayo Mjombaasante mkuu ni bachelor ya shipping and logistics management
asante sana Kaka nime apply Kwa email Yao pia kuna MTU Dodoma nime mtumia vyeti nime muomba anipelekee Kwa mkono makao yao makuu msalato Kwa neema zake Mungu nikipata nitakuja kushuhudia hapa🙏🏾🙏🏾Ruka nayo Mjomba
Uende ukacheze na Frigates Bahari ya Hindi
Mwenye umri mdogo ni rahisi kum-control kuliko mwenye umri mkubwa mtapelekeshana tu,Yeah,nadhani ndo malengo yao
Ooh kumbeMwenye umri mdogo ni rahisi kum-control kuliko mwenye umri mkubwa mtapelekeshana tu,
Kama wamekaa miaka miwili jkt inawahusu obviously kwa factor hiyo inawatemaHv hii walioapa juzi op mabeyo inawahusu
wakubwa wao tuu op samia hawajafikisha hiyo miaka miwiliKama wamekaa miaka miwili jkt inawahusu obviously kwa factor hiyo inawatema
Mchaw connection watu Wana force namba Kama mbuyu uko unapetaHv hii walioapa juzi op mabeyo inawahusu
Wewe unaomba tu halafu unaskiliziaMiaka 27 ni kigezo cha kupunguzaa watu ila hakina uhalisiaa kabisaa
Uwe na mbuyuMchaw connection watu Wana force namba Kama mbuyu uko unapeta
Wewe omba mkuu huwezi jua Nini kitatokea.Hv hii walioapa juzi op mabeyo inawahusu
Hayo maombi ya kujiunga wanayapeleka kwa mkono au pia njia ya email inatumika kuyatuma?Op ikapewa jina samia. Kama una cheti cha jkt chenye hiyo sifa kopa hapa pesa nenda Dodoma utakuja kunishukuru..Done!📌
Watakudaka kwenye namba ya nida.Hapo labda kwenda kuchonga cheti Cha kuzaliwa kingine tu😃