JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

nili peleka vyeti vyangu vyote nika jieleza kwamba nime pita jkt ila sikuchukuaga Cheti MP wa pale getin makao makuu aka sema Una nidanganya eee nika mjibu hapana aka itwa afande mwingine Nika pelekwa kwenye kichumba Kwa ndani kidogo waka nikaba tena kwamba sema ukweli nika salimu amri Nika sema sija pita ila nalipenda jeshi na Nina omba nijiunge vyeti hivi hapa waka vicheki wakani pongeza then waka sema kwa sasa hawana nafasi ila wata toa nafasi sa professional mwezi wa 5 then wata toa za jkt hapo hapo ndio waka sema Kwa muda huo ujao nina weza kuapply nika ondoka lakin baada ya hapo mwanajeshi mmoja aka nofuata kwa nyuma aka ningata skio kwamba kama nina kitu ana weza nisaidia kuingia Nika mwambia Mim yatima hela sina kazi sina aka niambia kila la kheri ... ndio hivyo wadau wangu
Dash! Kweli mkono mtupu haulambwi
 
27 Ina Maana hawataki graduates hapo target fm4 na 6 ,,

Maana nasikia hawa vijana walihakikiwaga jeshini kabla ya kuondoka ,Maana wanataarifa nao za umri kitambo sana MAAANA mpka kuweka kigezo hicho ni kuwa hawataki graduates au ka wapo ni wachache mnoooooo

Jmani wenye kujaribu jaribu vijna mliopita jkt huwezi jua ya kesho
Mbna graduates wengine hata 27 hawajafikaa.
 
nili peleka vyeti vyangu vyote nika jieleza kwamba nime pita jkt ila sikuchukuaga Cheti MP wa pale getin makao makuu aka sema Una nidanganya eee nika mjibu hapana aka itwa afande mwingine Nika pelekwa kwenye kichumba Kwa ndani kidogo waka nikaba tena kwamba sema ukweli nika salimu amri Nika sema sija pita ila nalipenda jeshi na Nina omba nijiunge vyeti hivi hapa waka vicheki wakani pongeza then waka sema kwa sasa hawana nafasi ila wata toa nafasi sa professional mwezi wa 5 then wata toa za jkt hapo hapo ndio waka sema Kwa muda huo ujao nina weza kuapply nika ondoka lakin baada ya hapo mwanajeshi mmoja aka nofuata kwa nyuma aka ningata skio kwamba kama nina kitu ana weza nisaidia kuingia Nika mwambia Mim yatima hela sina kazi sina aka niambia kila la kheri ... ndio hivyo wadau wangu
Duuuh hadi rushwaaaa tenaaaa??? Khaaaaah
Hatari hiii
 
Tunatengeneza Jeshi la vilaza (Kuna Vigezo havina mashiko kabisa)

1- Upuuzi wa JKT kuanzia (Mujibu na kuendelea)
2- Upuuzi wa Umri
3- Upuuzi wa kutoweka msisitizo ktk vipaji maalumu (Potentiality)

Jeshi linatakiwa lisukwe na watu wenye akili changamfu na sio wajinga wajinga

Kaka una stress nyingi sanaa
 
Back
Top Bottom