JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

Hapo waliopo kwenye Target ni wale Op Uchumi wa kati ambao walimaliza mikataba ila walikosa ajira before the Death of The Hon. JPM serikali ikapata kashfa nyingi za kuwaita waasi then baadaye wakarudishwa makambini na Op ikapewa jina samia. Kama una cheti cha jkt chenye hiyo sifa kopa hapa pesa nenda Dodoma utakuja kunishukuru..Done![emoji419]
op zilizo rudi nyumbani ni 3 tokea aingie uncle magu,,op magufuli,op merelani na op makao basi
 
vip Kwa wale ambao hawana Cheti cha jkt na wanakata kujiunga na jeshi hivi ina wezekana Yan Mim nipo mtaani natafuta Sana vibarua Ila ime kuwa ngumu wakubwa so nime waza niapply nafasi hio ya jwtz lakin Cheti Cha jkt sina Nina form 4,6 na bachelor ya shipping ki umri nina miaka 23 now ..vip wakuu Nita fanikiwa kweli
 
Hao makao ndo target Makao Dodoma si ndo awali walibid wawe uchumi wa kati wa kujitolea kabla haijafutwa ile intake
Hapana mkuu ,op uchumi wa kati waliikuta op makao kama service wakarudishwa halafu walivorudi wakarudi kama op samia ambao ndio tumewaacha sahizi wamebakiza miez kadhaa wamalize mkataba nao
 
vip Kwa wale ambao hawana Cheti cha jkt na wanakata kujiunga na jeshi hivi ina wezekana Yan Mim nipo mtaani natafuta Sana vibarua Ila ime kuwa ngumu wakubwa so nime waza niapply nafasi hio ya jwtz lakin Cheti Cha jkt sina Nina form 4,6 na bachelor ya shipping ki umri nina miaka 23 now ..vip wakuu Nita fanikiwa kweli
Bachelor ya Shipping na nini?
Jaribu kutuma pia omba Sana Mungu lolote lile zuri laweza tokea.
 
Hata kama wana watu wamewatarget uzuri ni kwamba angalau wametangaza hadharani, ni jambo zuri kuliko kufanya mambo kisiri siri. Bado usalama wa taifa nao ifike wakati watangaze nafas za kazi hadharani, taratb nyingine nd waweke siri, nao wajifunze kwa takukuru tu. Nafas zitangazwe hadharani mwenye sifa aombe alaf mamb mengin nd waweke siri.
 
Tunatengeneza Jeshi la vilaza (Kuna Vigezo havina mashiko kabisa)

1- Upuuzi wa JKT kuanzia (Mujibu na kuendelea)
2- Upuuzi wa Umri
3- Upuuzi wa kutoweka msisitizo ktk vipaji maalumu (Potentiality)

Jeshi linatakiwa lisukwe na watu wenye akili changamfu na sio wajinga wajinga
 
hivi wakuu hapa barua iandikwe kwa kiswahili au lugha ya kiingereza, ushauri nyie mnaonaje
n.b. sina vigezo vyote msidhani ninavyo ni vile naomba huku nikitanguliza mungu mbele, musa alipewa kibari cha kuongoza wana wa israel na hakuwa na uwezo wa kuongea vizuri, Je mimi ni nan
 
JWTZ ni umeweka maisha rehani ikitokea vita huna uchaguzi, unapelekwa popote.

JKT ni kundi la wakulima na wafanyakazi wa jeshi, hawa watapelekwa vitani kusaidia kuchimba mitaro

Pasipo kubagaza hadhi na utu wa watu, JWTZ ni defence force ya nchi hii na JKT ni kamandi ndani ya JWTZ.
 
hivi wakuu hapa barua iandikwe kwa kiswahili au lugha ya kiingereza, ushauri nyie mnaonaje
n.b. sina vigezo vyote msidhani ninavyo ni vile naomba huku nikitanguliza mungu mbele, musa alipewa kibari cha kuongoza wana wa israel na hakuwa na uwezo wa kuongea vizuri, Je mimi ni nan
Andika kiswahili haina shida mkuu
 
Tunatengeneza Jeshi la vilaza (Kuna Vigezo havina mashiko kabisa)

1- Upuuzi wa JKT kuanzia (Mujibu na kuendelea)
2- Upuuzi wa Umri
3- Upuuzi wa kutoweka msisitizo ktk vipaji maalumu (Potentiality)

Jeshi linatakiwa lisukwe na watu wenye akili changamfu na sio wajinga wajinga
Mbona umeongea kwa makasiriko sana
 
Hapo waliopo kwenye Target ni wale Op Uchumi wa kati ambao walimaliza mikataba ila walikosa ajira before the Death of The Hon. JPM serikali ikapata kashfa nyingi za kuwaita waasi then baadaye wakarudishwa makambini na Op ikapewa jina samia. Kama una cheti cha jkt chenye hiyo sifa kopa hapa pesa nenda Dodoma utakuja kunishukuru..Done![emoji419]
Umenena mkuu upo sahihi
 
Back
Top Bottom