NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
Ikuru-ikuluOfficially jamaa wa ikuru alimaliza mchezo hapa mchawi vetting and barring tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikuru-ikuluOfficially jamaa wa ikuru alimaliza mchezo hapa mchawi vetting and barring tu
Tayari kalipoti kikosini(jina kapuni) ila baada ya muda fulani watakuja watu kutoka sijui wap huko kukagua uhalali wa kuruta waliopo coz dogo kaingia kwa fani ambayo hanaFafanua kidogo hapa, vetting na barring kivipi
John makini kuna nyimbo aliimba "silikali mbwa koko"Ikuru-ikulu
Haha apo sawa Kuna wengne mpaka sasa ata kuitwa kikosini badoTayari kalipoti kikosini(jina kapuni) ila baada ya muda fulani watakuja watu kutoka sijui wap huko kukagua uhalali wa kuruta waliopo coz dogo kaingia kwa fani ambayo hana
Japo jamaa wa ikuru anasema watakaokuja anawamudu
Kama wewe ni baba kantuma usije Jw utajua kilichomtoa kanga manyoya alisikika kamanda mmoja akisema nukta.
Una maanisha kwamba watapata Cha mtema kuniKama wewe ni baba kantuma usije Jw utajua kilichomtoa kanga manyoya alisikika kamanda mmoja akisema nukta.
Acha janja janja mkuu uandishi wako unaonyesha kabisa una shida ya r na l.John makini kuna nyimbo aliimba "silikali mbwa koko"
Unadhani kwann haikufungiwa ?
Maudhui yake ni Nini.John makini kuna nyimbo aliimba "silikali mbwa koko"
Unadhani kwann haikufungiwa ?
TUISHI NA WATU WA MITAA YETU VIZURI NA KWA NIDHAMU MNOO KWANI CONNECTION HAITOKI MBALI WALA HAITAFUTWI KWA HELA.
Huu ndio ukweli wenyeweTUISHI NA WATU WA MITAA YETU VIZURI NA KWA NIDHAMU MNOO KWANI CONNECTION HAITOKI MBALI WALA HAITAFUTWI KWA HELA.
Kabisa mkuu!! Tunasaidiwa na watu wasio na udugu wala unasaba na sisi.Huu ndio ukweli wenyewe
Mm jamaa wa ikuru sio ndugu yangu na hajawai kuniomba hela na mishe zote huwa ananisaidia mpaka mwisho mfano PCCB alishindwa lkn niliona kabisa juhudi zake
Pia nimeshuhudia RPC akipunwa 1.5 na mwanae hakupata nafasi (alikuwa anataka Tiss akaambiwa ipo nafasi ya magereza na zimamoto[emoji23])
Silikali-siri kali.John makini kuna nyimbo aliimba "silikali mbwa koko"
Unadhani kwann haikufungiwa ?
bado kimya hapo labda mpaka watu wa msata wamalize usahiliwakuu ronja tpdf watu wa mtaani kimya wataitwa lini kupigiwa cm na wataenda oljro au
bado kimya hapo labda mpaka watu wa msata wamalize usahili
washamaliza kila kitu wamebaki watu wachache tuu ambao ni baba kantuma wanaoenda kuripori huku mwishoni"Afisa usajili ana tuite mwajiri ametoka msata hapa na kasema kozi inaenda kuanza hivi karibuni, ajabu ni kwamba usaili hasa upande wa vipimo haujafanyika"
Za ndaniiiii kabisa hizo...
Kuanzia Mei mosi kinawaka