JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

Ivi jamani si meseji watakuwa walishamaliza kuita watu au bdo wanaendelea kupiga simu coz naona Kimya kwamba mdogo wangu Hana Bahati duuuuh
 
TUISHI NA WATU WA MITAA YETU VIZURI NA KWA NIDHAMU MNOO KWANI CONNECTION HAITOKI MBALI WALA HAITAFUTWI KWA HELA.
Huu ndio ukweli wenyewe

Mm jamaa wa ikuru sio ndugu yangu na hajawai kuniomba hela na mishe zote huwa ananisaidia mpaka mwisho mfano PCCB alishindwa lkn niliona kabisa juhudi zake

Pia nimeshuhudia RPC akipunwa 1.5 na mwanae hakupata nafasi (alikuwa anataka Tiss akaambiwa ipo nafasi ya magereza na zimamoto[emoji23])
 
Kabisa mkuu!! Tunasaidiwa na watu wasio na udugu wala unasaba na sisi.
 
"Afisa usajili ana tuite mwajiri ametoka msata hapa na kasema kozi inaenda kuanza hivi karibuni, ajabu ni kwamba usaili hasa upande wa vipimo haujafanyika"
Za ndaniiiii kabisa hizo...
Kuanzia Mei mosi kinawaka
 
Back
Top Bottom