Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
Ndo Ivo mtu kama unambanga tupeane coz Undugu unajengwa kwa Ivo sio lazima tutoke familia moja.Wala sikupingi ktka hilo
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo Ivo mtu kama unambanga tupeane coz Undugu unajengwa kwa Ivo sio lazima tutoke familia moja.Wala sikupingi ktka hilo
Watoto wa mama ntilie tutaokolewa na NaniMimi Binafsi nimepambana sana bila mafanikio yyte mpaka naona kabsa Miaka 30 hii apa na kitu napenda Toka moyoni ila ndo Ivo connection hakuna.. vyeti kila kitu vipo ila mchawi connection
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Acha tu saizi naona Nitafute connection wawasaidie ata wadogo zangu... lakini connection ya kwelii haitangulizi HelaWatoto wa mama ntilie tutaokolewa na Nani
Shauri yako utasikia watu wameshamaliza mafunzo.Wadau oljoro kmy tu mpaka sasa.. nataka mdogo Wangu akapige tizi kidogo
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hahaha Hiyo msata najua tayar wapo mafunzon ila oljoro Bado hakuna mafunzoShauri yako utasikia watu wameshamaliza mafunzo.
Hahaha utasikia tu milardy ayo anatangaza kumalizika kwa shulemwezi ujao tuu
Inategemea na nani yupo nyuma yako.Samahani ivi mtu ukiwa na kila kitu kasoro cheti Cha JKT unaweza pata nafasi JWTz??
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Acha mbwembwe bhana Orjoro hawajachukua watu bado sijajua sababu ni nin ila kiangaiko wanaendelea na koziHahaha utasikia tu milardy ayo anatangaza kumalizika kwa shule
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Haha nimesema Ivo kwa maana mwaka Jana Kuna Banga Moja ongo sana ilipita na pesa afu dogo langu akabaki kitaa nikaskia tu Kuna watu wanaapa akati aliniambia badoAcha mbwembwe bhana Orjoro hawajachukua watu bado sijajua sababu ni nin ila kiangaiko wanaendelea na kozi
Msata tayar wapo shuleni ila Oljoro Bado nahisi labda hakuna mafunzo msimu huuHivi hawajaita watu tu?
Ingia ukurasa wa JKT utakuta vigezo Ndugu sana sana zinatangazwa nafasi ko unaanzia kutuma barua ngazi ya kataHivi process gani yakufwata ili mtu apate nafasi yakujitolea jkt?
Wanasubiri madogo wa mujibu wamalize kozi.Msata tayar wapo shuleni ila Oljoro Bado nahisi labda hakuna mafunzo msimu huu
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Eeeh mpaka mwezi wa nane uko si ndo watamaliza wa mujibu..Wanasubiri madogo wa mujibu wamalize kozi.