Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
[emoji23][emoji23]rudi shule ukajifunze kuandika
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]rudi shule ukajifunze kuandika
Leta mpya ndugu yangu kuna chochote?
Daaah mpya hakuna Zaid zaidi tu naskia Ronja ipo apo katikati ila tarehe kujua ndo kazi ipo but za chin chin kati ya tarehe 15 na kuendeleaLeta mpya ndugu yangu kuna chochote?
Kanembwe tena ndugu yangu
Ndio naskia Wanachukua TISS pale isije ikawa ni TPDF tunajua ni TISS watupe update kamili wa ukoKanembwe tena ndugu yangu
Tiss anachukuliwa sehem yeyote ndugu yangu wakikutaka wanakuchukua tuu ndivyo ninavyojuaNdio naskia Wanachukua TISS pale isije ikawa ni TPDF tunajua ni TISS watupe update kamili wa uko
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ndio big man Wanachukua kokote ila sasa ndo Ivo wamechukua pale kanembwa Tena kimya kimya hakuna haja ya kuitisha mausahiliTiss anachukuliwa sehem yeyote ndugu yangu wakikutaka wanakuchukua tuu ndivyo ninavyojua
Tafuteni mbanga wanasema ni mwezi huu ila tarehe haifahamikiKimya sana siku zinaenda Sana any update wakuu
Duh poa mkuuTafuteni mbanga wanasema ni mwezi huu ila tarehe haifahamiki
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kwa tayar wamechukulia?Ndio big man Wanachukua kokote ila sasa ndo Ivo wamechukua pale kanembwa Tena kimya kimya hakuna haja ya kuitisha mausahili
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Bado hawajachukua ambao hawako vikosini apo sasa sijui watafanyajeHuu ni ubaguzi mkubwa kabisa na wasio jkt je
Kila mtu atakula kutokana na urefu wa kamba yake bossBado hawajachukua ambao hawako vikosini apo sasa sijui watafanyaje
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kila mtu atakula kutokana na urefu wa kamba yake boss
Kibaya zaidi hawatoamini Sababu jw hakuna pdf kama vyombo vyengine Ivo kila mtu anajipa moyo Bado hawajachukuliwaVijan ukiwambia washachukuliwa wanakuona lofa matus kibao sasa endeleen kusubilia
Kibaya zaidi hawatoamini Sababu jw hakuna pdf kama vyombo vyengine Ivo kila mtu anajipa moyo Bado hawajachukuliwa
Hii inchi ni ya asali na maziwaUkwel ni kwamba wahuni walikuwa na nafac zao za ndugu na jamaa na marafik kam huna connection hii nchi ni janga na umasikini utakisir kikubwa ni kuukubal mtaa