K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

Katimiza msemo tukiwezeshwa tunaweza...angefungua kabla ya kuwa na babu ningempata big up ila kwa hili tunafundisha mabinti kuwa whore ...I ain't saying she a gold digger
But she ain't messin with no Broke niggas... Kanye west
huyu dada kapata bingo tu.. na kajua kulitumia danga vizuri..
lakini yeye na kina mwafulani ndo wale wale..
angefanya kwa pesa zake kama kina odemba au millen tunge muelewa lakini huyo baba ni sponser kwake !
ambacho katufundisha ni kukamatia danga na kutulia kulichuna haswa.
 
Wema kama kweli kapata bilionea Arusha atulie nae tu ale maisha aachane na usanii afanye kazi alizosomea shuleni
 
Reactions: MC7
Mtu anae jielewa anajielewa2,unafikiri hakuna vibopa hapa bongo ambao hawawezikuwachukua kina wema,wolper nk..sema ndo hivo2 kwamba ukiwaangalia utajua2 kwamba ni watu wakiozoea mamvo ya kiswazi. Mi binafsi k lyin namkubali asee...
 

Huwa napenda Mademu wa aina hii ambao " wanabanduliwa " na " Mataita " halafu na Wao wanajiongeza siyo hii Midemu mingine kutwa " inabanduliwa " na " Mitaita " halafu inaishia tu kuomba Hela ya kwenda kusuka nywele Mwenge, kununua Madila Kariakoo na ya kununulia Vocha na kupangiwa Chumba kwa Mtogole. Safi sana K-Lynn " nyapu " yako inakulipa sasa imemkuna kunakotukuka " Mipua " hadi sasa kachanganyikiwa nawe.
 
Mademu wa kibongo wanajua kuomba hela tu wakasukie mawigi kwa asnat pale mwenge
 
waliachana mke alikuwa mtata yule mama dah iko siku alimfukuza mzee akatoka nduki akaruka ukuta wa nyumba hata geti hakuliona
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Kuna watu wana nyota ya kutosemwa yani hii couple ingekuwa bi couple nyingine age difference na ndoa ya mzee ya awali basi ingesemwa hatari.
Lakini ajabu kwao kila mtu anamsifia k lyn


Ndugu yangu usisahau kua Mzee Mengi ni mlezi wa wanahabari na ili hayo yasemwe ni kupitia habari hata kama ni za udaku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…