K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

Habari zao mpaka Ununue Business Times,The Guardian utawakuta kwenye economic Forums..........sasa wewe ukijiloga ukanunua ''Wikienda''.......Ni Habari za ............. na vigodoro.
Ha ha ha
 
Hahahahaaa sipati hill varangati na Mzee alivyo mtaratibu kweli papuchi is ruining the world.

Huyo mzee ni mwingi wa papuchi sana. Labda awe ameacha siku izi. Na ana wivu kupitiliza huyo binti kamuwekea kifaa kinakuwa kinamuonyesha alipo popote hata mzee akienda ulaya anamuona. Kuna siku huyu binti alikuwa na mchepuko ile anafika hitelini mzee akapiga simu na kumueleza alipo na nguo alizovaa binti alirudi kwenye tax hadi nyumbani. Hii ilitokea muda kidogo kama miaka nne iliyopita.
 
Huyo mwanamke unaye mwongelea sio lilian Kimaro? Maana alikuwa yeye baada ya Rita. ..huyu mama mapacha alichukuliwa baada ya Lilian kutupwa nje. ...Haki ya Mungu. ...pesa safi sana. ..
 
Unajua maana ya danga au unaongea tu popompo wewe. Ina maana hata baba yako ni danga kwa mama yako au sio?. Watu wamependana wameoana tatizo lipo wapi? Na huo udanga umetoka wapi? Usitake kuandika hapa ili watu wakuone na wewe umeandika kitu
 
MERCY MENGI YU HAI NA ANAKAA KWENYE MANSION ...OYSTERBY. ..CHAKE CHAKE ST. NI MAMA MWENYE HEKIMA SANA MAANA AMETOKA KWENYE FAMILIA YA CHIEF SHANGALI. ...
Wabongo walimuua
Kuna watu humu wanaongea vitu wasivyovijua tena kwa uhakika, inashangaza sana. Mtu anasema fulani kafariki hadi mwaka anataja!
umeona eeh!
 
Huyo mwanamke unaye mwongelea sio lilian Kimaro? Maana alikuwa yeye baada ya Rita. ..huyu mama mapacha alichukuliwa baada ya Lilian kutupwa nje. ...Haki ya Mungu. ...pesa safi sana. ..

Huyu huyu aliyenae K L hao wengine nawajua mkuu. Huyo Lilian si alikuwa analiwa na Macha ndio kisa cha mzee kugombana na Macha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…