Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugonjwa wa moyoAlifariki kwa.......
Hela ilimuuza hata Yesu ..... Misiba ya matajiri Hadi askofu anaudhuria Kufa wewe Maskini uoneHili jambo nami hujiuliza sana, Mengi alikua hakufunga ndoa au more money less masharti ya kiimani n vice versa?
Hao waanze kupiga piga self tu ... Hivi Wema biashara Yake ya lips Stick ipoNakubaliana nawe ,kawadharau kina wema, jokate, wolper , aunt , lulu n.k ,
Seriously?waliachana mke alikuwa mtata yule mama dah iko siku alimfukuza mzee akatoka nduki akaruka ukuta wa nyumba hata geti hakuliona
Mke wa kwanza wa Mengi yupo wapi?au alikuwa bado hajaoa!
Yupo Machame NkwarungoKwani nani kabisha kuwa siyo mke wake halali? Mke wake wa kwanza yuko wapi?
Kama yuko vizuri bora ajipumzikie amwache huyo dingi aendelee kukimbizana na hao mabinti!Yupo Machame Nkwarungo
Kajitulia zake na lile limjumba pale la maana
Kufukuzana hataki si unajua tena ndugu zangu wamachame wakishapata nyumba na friji wameridhika
No stress
Hahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yupo Machame Nkwarungo
Kajitulia zake na lile limjumba pale la maana
Kufukuzana hataki si unajua tena ndugu zangu wamachame wakishapata nyumba na friji wameridhika
No stress
If you totally agree then... what's your doubt by using that phrase "I think..."I think i totally agree with you shule ndio kila kitu yaan .... And nafikiri she has passion with interior designing that's why she came up with that spectacular idea of selling furniture and interior decors..... Shule shule ndio mambo yote.....
ilikuwa ndoton.Duu ulifaidi sanaaa