K - Lyn ni mtu wa ku -spend ama kutafuta maisha?

Watu wameanza kuhoji kama yale maisha na mapicha picha yaliyokuwa yanatumwa kwenye mitandao ya kijamii hayakuwa na ajenda nyingine nyuma yake zaidi ya mahaba niue?
Yule demu toka ameolewa mpaka kuzaa na babu alikua anakula bata ila hapa mwishoni lilizidi kipimo
 
Inavyoonekana amekua kiakili na busara za utu uzima pia..sidhani kama atakua wakula bata
 
Shamim Mwasha alikua anapost vitu unavyovitaka.... leo yuko central siku ya kumi nadhani.. ananyea debe
Regardless..... angalau alijua wajibu wake... hakuna aliemsafi including hao wakina mengi... ni kama ontario na forex lakini trust me kuna watu kawaonesha njia licha ya kuwapiga...so kuna tofauti kufanya unachopaswa kufanya na kufanya ambacho ulipaswa kufanya kwa nafasi uliyonayo...
 
unategemea mijihela yote atafanyia nini bado rambirambi,huyu dada ana nyota ya pesa,
 
enhe endelea....!
 


Thing is no one knows if marehemu was really happy na Jacky's spending ways/spree....HAKUNA mwanaume anayependa mwanamke mtumbuaji na anayetia hasara. Believe me, you'll never live happily hata kama unampenda vipi. Kumbukeni, kuna maisha ya maigizo (Insta na Facebook) kama waishio mastaa uchwara wa kibongo kuiga mastaa wa majuu. There's no competition there.
 
Hahaha mkuu sio wote tuna ndoto kuwa ma billioner wengine tunapenda maisha ya kawaida.
 
Huyo Jack nilimdharau toka nimfollow insta sabab anapost mapicha yaleyale tu ya maslay queen yaan nilitgemea kwa level yake angekua mhamasishaji flani au anapost baadhi ya projects kuhamasisha vijana.... ni mtu wa bata tu nadhani hajabadilika mtazamo
Uko sahihi mimi nilivyoona watu wanamsifia nilimfollow baadae nikamunfollow baada ya kuwa sioni cha maana
 
Mmoja nilikutana nae Mlimani City analipia shopping ya nguo million 3 dada aliitoa cash
Sababu ya mpangilio mzuri, wajanja huenda mlimani city kuangalia kilichopo sokoni na kukipiga picha then haooo wanaenda kukitafuta Kariakoo.
Mlimani city wakikuuzia tsh 400,000 basi kariakoo wata kuuzia tsh 75,000
 
Huyo Jack nilimdharau toka nimfollow insta sabab anapost mapicha yaleyale tu ya maslay queen yaan nilitgemea kwa level yake angekua mhamasishaji flani au anapost baadhi ya projects kuhamasisha vijana.... ni mtu wa bata tu nadhani hajabadilika mtazamo

Kupost hizi picha kumbe ni hobby ya Jacq?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…