Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe yako unayafanya saa ngapi maana kazi kufuatilia mabandiko ya watu!!Dah...yenu mnafanya saa ngapi? Kutwa kucha na mambo ya watu ]
Upuuzi mtupu..usilolijua ni kama usiku wa giza.Anafahamu mengi na ana hasira. Ninaona anapiga picha Jakaya apate miss Tanzania [emoji23][emoji23]
Ngoja nikuongezee omo upate povu kama lote.Upuuzi mtupu..usilolijua ni kama usiku wa giza.
Hehe..ka.haba hakatoshi kunitia povu, jaribu mahaba.Ngoja nikuongezee omo upate povu kama lote.
Halafu watu sijui hawaangalii wako kwenye Jukwaa gani. Yaani jukwaa la "Celebreties" linakosaje udambudambu wa mitaani?Ngoja nikuongezee omo upate povu kama lote.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wanadamu kama kinyongaIla waja hawana dogo jamani, huyu dada ndio alikuwa anasemwa kuwa ni bosslady wa ukweli na zari mdangaji tu.
Loh, mara hii tena bosslady kaanza kuanzishiwa nyuzi za kila aina, si instagram wala jf watu ni mwendo wa kudiss tu
Milioni 7Alinunua mkoba unauzwa milion ngapi vile
HahahaaNa wewe yako unayafanya saa ngapi maana kazi kufuatilia mabandiko ya watu!!
Dah, mil 3 kwa nguo tu.Mmoja nilikutana nae Mlimani City analipia shopping ya nguo million 3 dada aliitoa cash
Yuko sawa, kwsbb ukiinua tu mguu kwenda madukani ujue utatumia hela iwe isiwe na hela hiyo haikuwa kwenye bajeti.Nilikua kazini, nilikutana na mama mmoja yeye ni cleaner. Alinieleza kesho yuko off, nikamuuliza umepanga kuitumiaje off yako. Alinijibu nitalala nikiamka nisafishe nyumba. Mimi nilimjibu kama jua linatoka mimi ninapenda kutembea madukani. Alinijibu yeye huenda madukani akihitaji kununua kitu. Aliendelea kuwa kama huna plan na hela uatajza mavitu wakati nyumba na gari huna.
Ni mtu wa bata kweli anaonekana, kwanza ht km asingetoka Zanzibar na kwenda dubai labda mzee wake asingekutwa na umauti.Huyo Jack nilimdharau toka nimfollow insta sabab anapost mapicha yaleyale tu ya maslay queen yaan nilitgemea kwa level yake angekua mhamasishaji flani au anapost baadhi ya projects kuhamasisha vijana.... ni mtu wa bata tu nadhani hajabadilika mtazamo
😁😁😁😁😁 mimi juzi nimefanya shopping ya nguo za 150k Imeniuma kinyama, starudia tena kufanya huo uzwazwaMmoja nilikutana nae Mlimani City analipia shopping ya nguo million 3 dada aliitoa cash
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mimi juzi nimefanya shopping ya nguo za 150k Imeniuma kinyama, starudia tena kufanya huo uzwazwa
Milioni 7
Watu wameanza kuhoji kama yale maisha na mapicha picha yaliyokuwa yanatumwa kwenye mitandao ya kijamii hayakuwa na ajenda nyingine nyuma yake zaidi ya mahaba niue?Babu na ubahili wote wa kurundika miela ila kwa jack ilibidi azitumie tu kwa kweli na kilichonifurahisha alienjoi mno yale maisha
Kumbuka familia ya Mengi kuna wasomi na mwanashiria wa familia. Kuna watoto wakumbwa na wadogo kuna jamaa yake iliyokuwa inamtegemea kwa maandishi. Wosia ilivyo andikwa . Sio kweli mapesa yote ni Kylin. Atakomaa sana kuzipataMzee Reginald Mengi ndiyo keshaondoka duniani na Mke wake Jacqueline Ntuyabaliwe kabakia kutunza familia yao.
Kwa kufuatilia Maisha yake baada ya kuolewa na Mzee Mengi nimebaki na swali kama Jacqueline ataweza kutunza hali ya ufanyabiashara na matumizi ya Fursa aliyokuwa nayo Mzee Mengi.
Hapa ndipo tutaona zaidi ya Uzuri wa kimaumbile wasichana warembo wa Tanzania wana nini kingine cha ziada. Kama matumizi yakizidi mapato basi si muda Magazeti ya udaku ndiyo yatakuwa chanzo cha Mapato kwa Jacqueline.
Maisha baada ya Kifo cha Mzee Mengi ndiyo yatatoa picha halisi kama Jacqueline ni mtu wa kula bata ama ni mtafutaji maisha!!