K - Lyn ni mtu wa ku -spend ama kutafuta maisha?

K - Lyn ni mtu wa ku -spend ama kutafuta maisha?

Ngoja nikuongezee omo upate povu kama lote.
Halafu watu sijui hawaangalii wako kwenye Jukwaa gani. Yaani jukwaa la "Celebreties" linakosaje udambudambu wa mitaani?

Hata ulaya ukisoma "The sun" au "National Enquirer" lazima hupate habari za mastaa lakini lazima zijazwe na udaku ndani mwake.
 
Nilikua kazini, nilikutana na mama mmoja yeye ni cleaner. Alinieleza kesho yuko off, nikamuuliza umepanga kuitumiaje off yako. Alinijibu nitalala nikiamka nisafishe nyumba. Mimi nilimjibu kama jua linatoka mimi ninapenda kutembea madukani. Alinijibu yeye huenda madukani akihitaji kununua kitu. Aliendelea kuwa kama huna plan na hela uatajza mavitu wakati nyumba na gari huna.
Yuko sawa, kwsbb ukiinua tu mguu kwenda madukani ujue utatumia hela iwe isiwe na hela hiyo haikuwa kwenye bajeti.
 
Huyo Jack nilimdharau toka nimfollow insta sabab anapost mapicha yaleyale tu ya maslay queen yaan nilitgemea kwa level yake angekua mhamasishaji flani au anapost baadhi ya projects kuhamasisha vijana.... ni mtu wa bata tu nadhani hajabadilika mtazamo
Ni mtu wa bata kweli anaonekana, kwanza ht km asingetoka Zanzibar na kwenda dubai labda mzee wake asingekutwa na umauti.
 
She will undergo diminishing marginal return if she will play a wrong card with a family,
Ajikaze au atapata presha atakufa
 
Babu na ubahili wote wa kurundika miela ila kwa jack ilibidi azitumie tu kwa kweli na kilichonifurahisha alienjoi mno yale maisha
Watu wameanza kuhoji kama yale maisha na mapicha picha yaliyokuwa yanatumwa kwenye mitandao ya kijamii hayakuwa na ajenda nyingine nyuma yake zaidi ya mahaba niue?
 
Mzee Reginald Mengi ndiyo keshaondoka duniani na Mke wake Jacqueline Ntuyabaliwe kabakia kutunza familia yao.

Kwa kufuatilia Maisha yake baada ya kuolewa na Mzee Mengi nimebaki na swali kama Jacqueline ataweza kutunza hali ya ufanyabiashara na matumizi ya Fursa aliyokuwa nayo Mzee Mengi.

Hapa ndipo tutaona zaidi ya Uzuri wa kimaumbile wasichana warembo wa Tanzania wana nini kingine cha ziada. Kama matumizi yakizidi mapato basi si muda Magazeti ya udaku ndiyo yatakuwa chanzo cha Mapato kwa Jacqueline.

Maisha baada ya Kifo cha Mzee Mengi ndiyo yatatoa picha halisi kama Jacqueline ni mtu wa kula bata ama ni mtafutaji maisha!!
Kumbuka familia ya Mengi kuna wasomi na mwanashiria wa familia. Kuna watoto wakumbwa na wadogo kuna jamaa yake iliyokuwa inamtegemea kwa maandishi. Wosia ilivyo andikwa . Sio kweli mapesa yote ni Kylin. Atakomaa sana kuzipata
 
Back
Top Bottom