Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,909
Kaunga King'asti Kongosho
(an apology to the perverts who thought otherwise😕)
Hawa wadada/wabibi/wamama wananivutia sana na nimechoka kuunda illusions kichwani mwangu.
Kila mara nionapo comments zao mimi huvutiwa tu na kujua wameandika nini yani.
Honestly kama ningeweza ningependa walau kuwaona in real life mlivyo...ningefurahi sana.
And that is my wish before 2013 knocks...good morning.

Last edited by a moderator: