"K" tatu ninazotamani kukutana nazo kabla ya mwaka kuisha...

"K" tatu ninazotamani kukutana nazo kabla ya mwaka kuisha...

Paw is around and watching
Paw kwa amani kabisa naomba usielewe vingine...nisaidie bas namba zake??!

Jamani na K yangu?

Babu Asprin nipe fidback ya ukaguzi wa K hii...inafaa kwa matumizi??!

Hunaga historia ya kutoa ban huku

Kumbe! ;-)

wee mentor una matatizo makubwa sana wewe? watu wa watu unataka kuonana nao kivipi wewe au una lako jambo? yaani nyie msikubali kabisa kuonana naye live huyo kwani wakaka wa humu jf wana tabia mbaya sana hasa mentor,
nawashauri msionane naye huyo ana lake jambo huyo mentor kwani ajui wanawake wa kibantu walivyo asa anataka nini kwenu.
KWA MSISITIZO: KATAENI KUONANA NAYE KABISA MENTOR ANATAKA KUWACHORA TU HUYO ANA JIPYA!
ladyfurahia sasa ukintongoza nkakataa ndo nageuka mbaya??!

Mie niko tayari kukusaidia umchukue Kongosho kwa mkopo usio na riba wala ukomo!!

Dats my grandpa...shud i PM u ama unanipa trick apa apa??!

Btw nyie watu mnaniondolea siriazness.. King'asti Kaunga na Kongosho pliz....popote mlipo..make this wish come true. Nitajiona mwenye bahati.
 
Last edited by a moderator:
Kaunga King'asti Kongosho

(an apology to th pervs who thought otherwise😕)

Hawa wadada/wabibi/wamama wananivutia sana na nimechoka kuunda illusions kichwani mwangu.
Kila mara nionapo comments zao mm huvutiwa tu na kujua wameandika nn yani.
Honestly kama ningeweza ningependa walau kuwaona in real life mlivyo...ningefurahi sana.
And that is my wish before 2013 knocks...good morning.

Kongosho ni kidume,shauri lako.
 
Last edited by a moderator:
nasubiri Mentor atoe picha ya hii 'k' moja anayoitamani iitwayo King'asti

Bi king'asti bana ana staili yake bana ya kutoa ushauri huku anatania..napenda sana. Sometimes i wish i was her young bro ningemweleza challenges zangu zote....
 
Last edited by a moderator:
Hao wengine sijui lakini Kuhusu Kaunga wasiliana na Ruttashobolwa au na snowhite,mara ya mwisho nimesikia wana mpango wa kuanzisha kanisa la upako chini ya watunza sadaka charminglady na mumewe @c6

Amina Mtakavitu paka mweusi.... Ni watumishi wa Bwana tu ndio wanaoweza kufungua kanisa. Ni kweli tuna mpango huo na siku si nyingi tutakuja kuomba michango yenu kwa ajili ya ujenzi............
 
Bi king'asti bana ana staili yake bana ya kutoa ushauri huku anatania..napenda sana. Sometimes i wish i was her young bro ningemweleza challenges zangu zote....

kumbe siku zoote i treat you like my little bro afu wewe unaniona dada wa kambo? Kwa kweli umenisikitisha sana Mentor. Hehehehe, twenzetu pm, ukitubu nitakusamehe.
 
Last edited by a moderator:
Kaunga King'asti Kongosho

(an apology to th pervs who thought otherwise😕)

Hawa wadada/wabibi/wamama wananivutia sana na nimechoka kuunda illusions kichwani mwangu.
Kila mara nionapo comments zao mm huvutiwa tu na kujua wameandika nn yani.
Honestly kama ningeweza ningependa walau kuwaona in real life mlivyo...ningefurahi sana.
And that is my wish before 2013 knocks...good morning.

mie ya madame B, Lara 1 na Zinduna
 
Back
Top Bottom