Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kofia nakuvulia, Mwalimu uko vizuri,sidhani hawasikii,japo nawajua kwa kiburi
watakuja niamini,sipe moyo kisirani
wasubiri waja na kheri,nawajua majirani
nawajua kwa jeuri japo waja ila wasubiri
Vina umepangilia, na mizani iso shari,
Lugha umeipatia, kiswahili adhimuni
Hongera mwalimu wetu, Kwa ushairi tukuka