Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,138
Kaunga King'asti Kongosho
(an apology to th pervs who thought otherwise😕)
Hawa wadada/wabibi/wamama wananivutia sana na nimechoka kuunda illusions kichwani mwangu.
Kila mara nionapo comments zao mm huvutiwa tu na kujua wameandika nn yani.
Honestly kama ningeweza ningependa walau kuwaona in real life mlivyo...ningefurahi sana.
And that is my wish before 2013 knocks...good morning.
siku ya kwenda kuwaona naomba nikusindikize na mimi niwaone...wakina KaKiKo