K Vant na tatizo la kusahau

K Vant na tatizo la kusahau

Wakuu, wote tunajua pombe zina athari nyingi ingawa pia zina utamu wake.

Mimi ni mnywaji wa pombe ingawa hazijawahi kunisumbua kwa maana ya kuwa addicted ila nikinywa siku yoyote naenjoy tu. Sijawahi kuwa mpenzi wa konyagi au pombe za aina hiyo.

Juzi juzi hapa nilipiga K Vant, ilinipeleka sana aisee. Na kwa siku kadhaa baada ya hapo nilikuwa nasahau sahau tu vitu ovyo. Niliwahi kusikia hii pombe ina matatizo hayo. Je, ni kweli yanawatokea wengi na ni ya muda mrefu au ni kama sehemu tu ya hangover?
Zinaua macho pia
 
Mkuu, ulilamba K-Vant taputapu(fake!),
K-Vant original, aaah! burudaaaani hadi raha! Na msimu huu wa baridi ndio usiseme!
 
Wakuu, wote tunajua pombe zina athari nyingi ingawa pia zina utamu wake.

Mimi ni mnywaji wa pombe ingawa hazijawahi kunisumbua kwa maana ya kuwa addicted ila nikinywa siku yoyote naenjoy tu. Sijawahi kuwa mpenzi wa konyagi au pombe za aina hiyo.

Juzi juzi hapa nilipiga K Vant, ilinipeleka sana aisee. Na kwa siku kadhaa baada ya hapo nilikuwa nasahau sahau tu vitu ovyo. Niliwahi kusikia hii pombe ina matatizo hayo. Je, ni kweli yanawatokea wengi na ni ya muda mrefu au ni kama sehemu tu ya hangover?
Ni kweli inafuta memory nimekaa na dingi mmoja hapa anakunywa k vant nimeshangaa anamfokea Kaunta kuwa amechukua simu yake wakati kaishika mkononi yeye mwenyewe.
 
Ukinywa K vant unaamka asubuhi kichwa kinauma.

Ushauri wa bure jitahidi uepuke kunywa pombe zenye majina makubwa feki zake ni nyingi sana
 
Back
Top Bottom