Iliwahi kumzimisha dogo hapa masaa 9 mfululizo hajijui yaani hii kitu dah
Wewe sasa umemaliza kila kitu. Kiufupi hiki ni kinywaji unakunywa siku unayosema "leo nataka nijiharibie maisha."We kunywa bia tuu ,k vant waachie wao wenyewe ,k vant haijawai kuwa na mwisho mzuri, kama ujapoteza simu basi umepasua kioo au imearibika vibaya, kama hamjapigana na wale ulioenda nao basi umekwaruzana na muhudumu au meneja ,kama hujamshika mtu makalio basi kunatukio tu utakuwa umelifanya linalofanana nalo kama hukupata ajari basi kulala kituoni ni kawaida.
Unakumbuka kile kiwanda feki Babati. Bora kile. Kuna kile Cha wachina Buguruni mpaka Hennessy wanatengeneza.Hasa hizi chupa ndogo za konyagi na kvant yani feki zipo mpaka kwenye maduka makubwa,nimeachana na hayo makalakali,yani usiombe ukagongana na hiyo feki ukinywa hata chupa ndogo moja utalewaeea siku tatu.
2500Bei yake tafadhari
Unaweza usinywe pombe kama wewe lakini mwisho wasiku unafia gest juu ya kifua cha mtoto wa mwenzio kisha unazikwa na figo yako mpya zero kilomitaDrink at your own risk.
The choice is yours.
Sema whiskey za dar es salaaam zina tofauti kidogo kwenye ladha na za sehemu nyingine hasa nje ya tanzania.Sio Jack Daniel tu. Ni karibia whiskey zote.hazina hangover.
Jaribu GRANT'S pia utanishukuru
Bongo Pombe Kali nyingi sana zinatengenezwa feki..Sema whiskey za dar es salaaam zina tofauti kidogo kwenye ladha na za sehemu nyingine hasa nje ya tanzania.
Brandy nazo hivyo hivyo. Nimewahi kunywa hennessy vs nairobi kwa muda kidogo kisha nikaja kunya dar, tofauti kwenye taste. Labda mdomo wangu unaniongopea au hali ya hewa au nini sijui. Tofauti ipo japo sio kubwa sana
Daaah hiki kitu cha Shinyanga nimekipiga Juzi kati nimekipenda sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unakumbuka kile kiwanda feki Babati. Bora kile. Kuna kile Cha wachina Buguruni mpaka Hennessy wanatengeneza.
Sasa naonaga wanywa Hennessy wanajiona wako matawiii, kumbe wanakunywa mikojo ya wachina.
Nje ya mada:Nje ya mada!
Hivi anayekunywa 'Pombe' kupita kiasi na yule anayekunya 'Soda' kupita kiasi yupi? yuko kwenye Hatari zaidi ya kuua figo kwa haraka.
Iko cheap mno haina tofauti na JAPO2500
Hii ilinikutaga nilikunywa ka JD kale kadogo nilikuwa sina mzuka wa kunywa sana.Sasa hivi ugonjwa wa kufeli Figo ni namba nne.
1. Kisukari
2. Presha
3. Ukosefu wa nguvu za kiume
4. Kufeli kwa Figo
Kumbuka Kuna pombe Kali nyingi Sana feki mtaani wanazotengeneza wachina majumbani. Zina sticker za tra na chupa halisi.
Especially konyagi, K vant na Hennessy.
Drink at your own risk.
Ni hanson sie hennesyKuna machaguo memgi ila hennesy choice NI best View attachment 2117283
Hiii hapa??Kuna machaguo memgi ila hennesy choice NI best View attachment 2117283
Mkuu sory Hanson inaundwa shinyanga kumbeKawaida TU hata usiiogope made in shinyanga bt east Africa Spirit Bei around 4500-7000