- Thread starter
- #41
Ila kweli unavyosema!!!Ukikataa ya wazi ya sirisiri utaipata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kweli unavyosema!!!Ukikataa ya wazi ya sirisiri utaipata
Anadai eti wataalamu wa IT wameangalia ile picha wakamhakikishia kuwa kweli ilipigwa Mombasa sio editing!!!Jamaa alikuwa anatafuta sababu ya kumtema tu huyo na kaipata ndo maana hakutaka kufuatilia mambo ya saini zake ofisini
ila siku hizi sisi wanaume ni waaminifu sana wala hutashare!!Nipo tayari ...hata nisipokua tayari lazima ntashea nipo tayari kwa kweli haizuiliki
Thubutuuu yenu ...nayaona kila siku MTU kwa mkewe anajifanya mtakatifu petro akitoka hapo yajayo yanafurahishaila siku hizi sisi wanaume ni waaminifu sana wala hutashare!!
Kila MTU na mfumo wake mkuu Mimi ukiniona wa nini , na Mimi nakuona wa kazi gani! Huo ndio mfumo wangu.Nimekupenda bure na hili lingefaa umfundishe Beef Lasagna , hii ndiyo JF si utoto kumuonesha mtu aliyekuona hufai kuwa naye hafai
Mimi nina mpenzi wangu mwenye chura nampenda hata huwa simsaliti!Thubutuuu yenu ...nayaona kila siku MTU kwa mkewe anajifanya mtakatifu petro akitoka hapo yajayo yanafurahisha
Ndoa zina changamoto sana. Yaani ghafla unapewa talaka bila kutarajia!!!Ni shida.
kweli kabisaKila MTU na mfumo wake mkuu Mimi ukiniona wa nini , na Mimi nakuona wa kazi gani! Huo ndio mfumo wangu.
😳😳😳ila siku hizi sisi wanaume ni waaminifu sana wala hutashare!!
MmmhMimi nina mpenzi wangu mwenye chura nampenda hata huwa simsaliti!
Yaani, ni hatari. Wazee wamejaribu kumshauri lakini hatakiHuyo jamaa alikuwa anamtafutia sababu huyo mwanamke alishamchoka.
Ni Mombasa Kenya mkuu Nyabhakangala sio ZNZEbu weka hiyo picha tuone kama yupo Zanzibar
Mkuu kitalembwa, unajua sio siri hii teknolojia ni kama "tume ibaka" kwa kiasi fulani hiviMuache mambo ya kuedit Sasa,,,, alafu wote mke na mume hawajielewi! Facebook mtandao wa kishamba sana, mtu anaweza kujisikia huko akapost "somebody is feeling pregnant with you and other 15 people"
Ushauri wapambane na hali zao
And so do ILove u NAHUJA