Ka edit picha yake, matokeo yake kapewa talaka

Ka edit picha yake, matokeo yake kapewa talaka

Jamaa alikuwa anatafuta sababu ya kumtema tu huyo na kaipata ndo maana hakutaka kufuatilia mambo ya saini zake ofisini
Anadai eti wataalamu wa IT wameangalia ile picha wakamhakikishia kuwa kweli ilipigwa Mombasa sio editing!!!
 
Muache mambo ya kuedit Sasa,,,, alafu wote mke na mume hawajielewi! Facebook mtandao wa kishamba sana, mtu anaweza kujisikia huko akapost "somebody is feeling pregnant with you and other 15 people"

Ushauri wapambane na hali zao
 
Mkuu kitalembwa, unajua sio siri hii teknolojia ni kama "tume ibaka" kwa kiasi fulani hivi
 
Back
Top Bottom