PostGE2025 Ka-nzi Activated... Mauaji ya Mamia... Wamelishana Yamini, na Sisi Tule Yamini...

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
View attachment 3502980
Na. M. M. Mwanakijiji

Sioni namna gani Samia anaweza kujiuzulu halafu mambo yakaisha. Video na picha zinazoendelea kutoka sasa hivi na zile zitakazotoka baadaye zinatudokeza uzito, ukubwa na uovu uliofanyika kati ya Oktoba 29 na Nov 3/4. Tunaweza kuona kuwa kilichofanyika hakikuwa suala la kudhibiti waandamanaji au kuzuia vurugu. Ni wazi kabisa kuwa kilichotokea ilikuwa ni kuonesha kile wanachokiita wenzetu "impunity" yaani kutokujali matokeo yoyote. Mauaji yaliyofanyika siku hizi kwa lengo la kuzuia vijana yameonesha bila ya shaka kuwa waliotekeleza mauaji yale walikuwa wanajua wametumwa kufanya nini.

Kwa wale wanaojua taratibu za kutawanya watu kisheria wanajua kabisa kuwa kuna sheria inayoongoza hilo. Jeshi la polisi lina utaratibu ambao hutumika kabla ya kuanza kutumia nguvu dhidi ya mikusanyiko isiyo halali. Ni wazi kuwa siku ile na zile zilizofuatia utaratibu huo haukutumika ikiwemo kutangazwa kwa agizo la rais kwa watu kutawanyika na kutolewa onyo. Kilichotokea ni kuwa vyombo vya dola vilitoka kwenda kuua kama onyo pekee. Lakini kuwa hili la kutokujali matokeo ndiyo liliwapa kiburi cha kuua bila kuuliza. Video nyingi zitakazotoka hasa ndani ya wiki hii zitawafanya hawa wenye mioyo migumu kukubali kuwa yalitokea mauaji ya halaiki.

Miaka mingi nilikuwa najiuliza hivi iliwezekana vipi kwenye mauaji ya Rwanda watu zaidi ya laki nane kuuawa ndani ya siku 100. Yaani, kwa wastani watu 8000 walikuwa wanauawa kila siku wakati wa mauaji yale ndani ya kanchi kadogo kama Rwanda. Sasa tukiangalia yaliyotokea Tanzania na jinsi yalivyotokea si vigumu kukisia namba ya watu waliouawa ndani ya siku nne tu Tanzania. Nimekuwa nikijiuliza kuwa inawezakana wameuawa watu wengi kuliko tunavyodhania? Makisio ya chini kabisa ya watu 2000 tu yanaweza kuwa ni ya chini kweli.

Kutokana na ukweli huu ni wazi kuwa ilipofika ile Jumatatu ya tarehe 3 walijua mara moja kuwa yametokea mauaji makubwa. Kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya ndani kabisa (ka-nzi) ni kuwa mara baada ya picha ya mauaji ilivyoanza kuoneakana jambo moja lilikuwa dhahidi - hawawezi kuachia ngazi au kujiuzulu. Lakini la pili ni kuwa haiwezekani kujiuzulu mtu mmoja au watu wawili watatu. Maamuzi ya kuua Watanzania kwa kisingizio cha kuzuia "vurugu" yalifanywa na kikundi cha watu wakubwa sana katika nchi na kupata baraka ya viongozi wa kisiasa. Hesabu waliyokuwa wameipiga ni kuwa watu wangekimbia kujificha mara baada ya risasi za mwanzo. Walifikiria labda watu si zaidi ya 30 wangeuawa; lakini namba ilivyokuwa inakuja hakukuwa na mjadala tena.

Ilibidi wale yamini - viongozi wa kisasa, na wale wa vyombo vya dola. Walijua mapema kuwa wakati utakapokuja kuwajibishwa haitaishia kwa Rais tu bali watendaji wa juu wa vyombo vya usalama watasimamishwa kizimbani na kama watasimamishwa katika mahakama za Tanzania basi adhabu ya kunyongwa itakuja kutumika dhidi yao. Hili limekumbushia baadhi ya viongozi wa nchi zilizosimamia mauaji ya wananchi wao na baadaye kuwajibishwa. Nitatoa mifano michache hapa ili watu wajue hili si suala la kuwajibishwa kwa Samia tu. Litaondoka na wengi.

1. Iliyokuwa Yugoslavia - Mbosnia huyu alikuwa Rais na akashitakiwa kwa mauaji ya halaiki na uhalifu wakati wa vita (war crimes). Mmoja wa maafisa wake wa Usalama kutoka Jeshi la Bosnia Radko Mladic naye alishtakiwa kwa mauaji ya halaika, uhalifu wa kivita na makosa mengine. Wote walihukumiwa kifungo cha maisha.

2. Rwanda - aliyekuwa Meya wa mji wa Taba Jean Paul Akayesu alishtakiwa mauaji ya halaiki na uhalifu wa kivita. Pamoja na huyo aliyekuwa Kanali katika Wizara ya Ulinzi Theoneste Bagosora na Meja Jenerali Augustin Bizimungu wote walikutwa na hatia ya mauaji ya halaiki na wakala vifungo virefu..

3. Liberia/Sierra Leone - wengi tunakumbuka sakata la Charles Taylor alikuwa Rais wa Liberia. Yeye na maafisa wengine wa RUF walikula miaka mingi kufuatia vita ya Sierra Leone. Charles Taylor akiwa Rais wa zamani kushtakiwa makosa ya uhalifu wa kivita. Ikumbukwe kuwa kinga ya rais inamzuia kushtakiwa ndani ya Tanzania kwa vitendo alivyofanya akiwa madarakani; haivizuii vyomo vya kimataifa kumshtaki.

4. Chad - huku kunalingana sana na mambo ya hapa kwetu. Aliyekuwa Rais wa Chad Hissene Habre alishtakiwa kwa mauaji ya wananchi wake na kuhukumiwa kifungo cha maisha. Wakuu wake wa vikundi vya watekaji na watesaji kama Saleh Yunus na Mahamat Djibrine wote walishtakiwa tena na mahakama za ndani na kuhukumiwa vifungo vya maisha.

Ipo mifano mingine ya kule Mynmar, Guatemala, Argentina, n.k ambako viongozi wa kisiasa na watendaji wao kwenye vyombo vya usalama walidhania wako salama kwa vile waliendelea kuendesha magari ya kunesanesa na kupepewa bendera huku wakipigiana saluti na kutinga tai zenye kung'ara. Walidhani kwa vile bado wanaitana 'waheshimiwa' basi makosa yao yatasahauliwa.

Katika sakata hili la Tanzania na dhambi hii kuu tunayoishuhudia tukumbuke majina ya wahusika wa mauaji haya na kuwa wakumbuke kabisa watakuja kuwajibishwa. Inaweza kuwa Disemba 9 hii lakini haitaishia Disemba 9 hii. Wamekula yamini kulindana kwa ile kanuni ya wahenga kuwa "panya hawakamatani'. Geresha ya uundwaji wa tume ni matusi na kejeli kwa utawala wa haki. Ni wazi tume hiyo haiwezi kamwe kumnyoshea mkono Samia wala watendaji wa juu - na tunaweza kukisia mojawapo ya kauli watakuja nazo ni kuwa

"Tume imefanya uchunguzi na imehojiana na watu mbalimbali na katika uchunguzi wowote hatukuona ushahidi wowote wa maagizo ya mauaji kutolewa na uongozi wa juu wa nchi. Mauaji yaliyofanyika hayakuagizwa na Rais au watendaji wake na ni matukio yaliyofanywa na askari walijichukulia sheria mkononi".

Kauli hii itakapotoka ndiyo itafungua mwanya wa wao kuwafukuza kazi maafisa wa polisi na kuwashtaki kwa mtindo wa kuwatoa kafara - wao wenyewe wakiombea kuwa hawataguswa. Wamekula yamini kuwa wao na watoto wao ni lazima waendelee kukaa madarakani kwa miaka hamsini ijayo hadi kizazi chao kitakapokuwa kimekufa bila kufishwa mahakamani kwa makosa ya Oktoba 30.

Na sisi tule yamini; na sisi tuapizane na tuapizane na watoto wetu. Ni lazima tuwawajibishe wauaji hawa, ni lazima wajibu mashtaka ya mauaji haya na ni lazima wakati utakapofika Chama cha Mapinduzi kifutwe, viongozi wake wakuu na familia zao kupigwa marufuku kushika nafasi yoyote ya uongozi wa nchi, na mali zake kufisiliwa. Ni lazima tule yamini kuwa damu ya watoto wetu, mama zetu, vijana wetu ambayo imemwaga kihalifu hivi ni lazima ilipwe. Wao wamekula yamini na sisi tule yamini.

Nawaapiza!!
Amen, naamini tutafanikiwa, Mungu yupo upande wetu
 
SSH yeye na kizazi chake vichwa vyao ni halali yetu...we'll eat thr brains with a fork
 
Katika vyote ulivyoaandika hapo niona hapo mwisho umenena zaidi mtaalamu:
“CCM ifutwe” this is the source of all EVILS,

The Axis of Evils - CCM.
 
Huu mpango wa mauaji ulikuwepo kati ya viongozi wa juu kabisa tokea mwanzo na maandalizi ya mauaji yalitengenezwa kabla ya tukio.

Wauaji kwenda hadi kwenye mitaa, ambako hapakuwepo na maandamano kunaondoa hiyo dhana ya watu kuuliwa kwa sababu ya kufanya uharibifu.

Mitandao kuzimwa ilikuwa imepangwa tokea awali kuweka giza wakati kazi ya kuua ikiendelea

Haya mengine yanayosemwa, ya JWTZ kudhibitiwa, na vikosi toka visiwani na kwingineko kuwa sehemu ya wauaji, siyo mambo yanayofanywa kwa dharura ya kuzuia vurugu
 
Naomba kakipande kamoja ka video kanakoonyesha waandamanaji wakifanya fujo, vurugu, wizi, uharibifu na uchomaji wa mali.
Sio kamoja naweza kukuonyesha hata zaidi ya makumi mkuu, mie nimeona kwa macho mkuu na sehemu ninayo ishi ndo si mbali na kiini cha hii kadhia, kwanza waandamanaji walikuwa wanafunga barabara na ndo hapo kila mtu na akili yake kichwani na wengi wao ilikuwa kuchoma moto kuharibu mali na miundo mbinu ya Umma na kupora mali za Watanzania wenzao masikini

Na sisemi kwamba hakukuwa na watu wenye nia safi na lengo ni maadamano kudai hizo haki zao wanazohisi zimeporwa na watawala lkn watemi na wababe ndo walikuwa kam wana engineer hii na waliwazidi nguvu hao wachache wenye nia njema .
Na nimetoa rai pamoja na maneno mengi kwa hawa wahamasishaji, kwanza wakiwepo italeta maana na kama hawapo watoe elimu pia ya namna ya maandamano ya amani lkn kama ndo kile nilichokiona naona inakuja vita ya mtanzania masikini kwa mtanzania kapuku mwenzie

Huyo Samia, Abdul, Elvis na Angela kiziga sidhani kama watapata hizo athari zaidi yetu sie kwa ku push agenda za watu ambao hata kuwepo hawatakuwepo labda ktk maandamano zaidi ya ku gaslight tu

Naunga mkono maandamano ya amani ila kama ni yale na ule ni ushenzi 29OCT na kama isingetumika nguvu hiyo ndani ya siku tatu au nne nchi ingechomwa moto yote

Watangulie kwa amani wale wote walio tangulia kwenye haki kwa kupambania na kujua wanachotetea na hata wale walio pelekwa pelekwa kwa kutokujua hasa nini kinapiganiwa
Kwa meneno ya hawa wanao jifanya wana uchungu halisi wa hii nchi na baadhi wakiwa wapo mbali na sehemu husika lkn wanasukuma agenda zao za Ki siasa, Ki Imani na labda kuona nao watapata fursa kama watawala hawa wakianguka na labda nao waingie kwenye history kwamba eti nao walikuwa wakombozi na mashujaa
 
KUANDAMANA BILA KUA NA SILAHA YA MOTO = KIFO

Watanzania wengi ni waungwana sana sanaa nimekaa na wahuni lakini hawana fujo Wala vurugu.

Sijui nini kilitokea ila am sure hii issue ilisababishwa na police 🚓 kupiga risasi na kuua raia ndio maana raia waka react..

Na mengi ya kuandika naishia hapa kwa Sasa.
 
Mkuu sijui hasa wapi ulipokuwa lkn kwa mazingira niliyo kuwepo mimi na labda kutokana na waandamanaji kuwa hawana kiongozi rasmi wa maandamano kwa hizo sababu kwamba ni maadamano ya wananchi ndo yalileta kundi lenye nia ovu likawazidi nguvu wenye nia njema ya maandamano
Watu walianza fujo ya kuchoma , kupora na kuharibu miundo mbinu kwa kasi ya ajabu na ndo hapo nao polisi wetu na waledi wao ndo kama hivyo yakatokea ya kutokea

Kwanza jua ilikuwa kama kuna hisia hakuna litakalotokea na lilipo ripuka ikawa kama watu hawajui nn kifanyike kwa upande wa dola (polisi) na pia mwanzo ilionekana kama jeshi pia lipo kwa waandamanaji sababu walikuwa wanatembea tu na wanaangalia tu wenye nchi wanachofanya
Mtandoa ulipozimwa na nahisi baada ya wao ku calculate hizo risk zinazoenda kutokea za uharibifu maana watu walikuwa wanaitana kwa mitandao wakiwa live na kilichotokea ndo hicho mkuu (wananchi walitoka kwenye lengo la kuandamana kwa amani na polisi wetu kwa taharuki na kama ujuavyo weledi pia labda si wa kiwango hicho ndo tumefika hapa)

Mengi niliona kwa macho kwa hapa mjini sijui vyanzo vya maeneo mengine na mikoani
 
Tuwakumbushe tu kwamba, sheria walizoweka leo hazitawasaidia waking'olewa. Alieshika mpini ndio ataamua awakate vipi
 
Mkuu sijui hasa wapi ulipokuwa lkn kwa mazingira niliyo kuwepo mimi na labda kutokana na waandamanaji kuwa hawana kiongozi rasmi wa maandamano kwa hizo sababu kwamba ni maadamano ya wananchi ndo yalileta kundi lenye nia ovu likawazidi nguvu wenye nia njema ya maandamano
Watu walianza fujo ya kuchoma , kupora na kuharibu miundo mbinu kwa kasi ya ajabu na ndo hapo nao polisi wetu na waledi wao ndo kama hivyo yakatokea ya kutokea

Kwanza jua ilikuwa kama kuna hisia hakuna litakalotokea na lilipo ripuka ikawa kama watu hawajui nn kifanyike kwa upande wa dola (polisi) na pia mwanzo ilionekana kama jeshi pia lipo kwa waandamanaji sababu walikuwa wanatembea tu na wanaangalia tu wenye nchi wanachofanya
Mtandoa ulipozimwa na nahisi baada ya wao ku calculate hizo risk zinazoenda kutokea za uharibifu maana watu walikuwa wanaitana kwa mitandao wakiwa live na kilichotokea ndo hicho mkuu (wananchi walitoka kwenye lengo la kuandamana kwa amani na polisi wetu kwa taharuki na kama ujuavyo weledi pia labda si wa kiwango hicho ndo tumefika hapa)

Mengi niliona kwa macho kwa hapa mjini sijui vyanzo vya maeneo mengine na mikoani
Nipo dar es salaam Tanzania, Leo nili realize kua nilikua wrong Mimi nilikua na amka asubuh naenda center maana Mimi ni mtu wa watu sana sanaa

Wapo walio wai niomba niwe japo diwani wao...Mimi sijisikii nipo humble msikivu sana sanaa...mtu mwema

Eneo nililo KUWEPO Kuna near Kambi za jeshi...Leo ningekua nimeuwawa maana kwenye lockdown Mimi nilikua napiga misele...

Kilicho fanyika tokea ni crimes against humanity
 
Unazungumziaje la watu kufuatwa majumbani mwao, kwenye maeneo yao ya biashara, kufyatuliwa na kuangamizwa?
 
Mkuu hakuna any justification ya kuua mtu ila kwa aina ile ya waandamanaji (sio wote) nakuambia nchi na hasa Dar ingeangukia kwenye lawless society yaani wababe na watemi ndo wangetamba na kwa maono tungeumizana sana wananchi kwa wananchi yaani wenyewe kwa wenyewe na hao walengwa kama wangepata madhara labda ya kuchukua ndege na kutuachia shida sie wa ndani

Na hivi mkuu kama unaona kwa jicho la mbali hapa tulipo fika wawe hawa watawala au wengine wakija mambo hayatakuwa same tena kwa muda maana mifarakano ipo wazi ktk jamii

Mfano tu tamko la TEC la karibuni na kina Gwajima maneno yao ya zamani tayari jamii (baadhi ya waumini) wa imani nyingine inaona ni hila tu zinatafutwa kwa lengo la kustawisha na kuimarisha imani ya wahusika na hiyo ina maana kuna msuguano wa kichini wa kiimani unaweza ibuka hata kama utawala huu utaondoshwa (na sidhani kama utaondoshwa ki rahisi hivyo pia)
 
Sio kamoja naweza kukuonyesha hata zaidi ya makumi mkuu, mie nimeona kwa macho mkuu na sehemu ninayo ishi ndo si mbali na kiini cha hii kadhia, kwanza waandamanaji walikuwa wanafunga barabara na ndo hapo kila mtu na akili yake kichwani na wengi wao ilikuwa kuchoma moto kuharibu mali na miundo mbinu ya Umma na kupora mali za Watanzania wenzao masikini

Na sisemi kwamba hakukuwa na watu wenye nia safi na lengo ni maadamano kudai hizo haki zao wanazohisi zimeporwa na watawala lkn watemi na wababe ndo walikuwa kam wana engineer hii na waliwazidi nguvu hao wachache wenye nia njema .
Na nimetoa rai pamoja na maneno mengi kwa hawa wahamasishaji, kwanza wakiwepo italeta maana na kama hawapo watoe elimu pia ya namna ya maandamano ya amani lkn kama ndo kile nilichokiona naona inakuja vita ya mtanzania masikini kwa mtanzania kapuku mwenzie

Huyo Samia, Abdul, Elvis na Angela kiziga sidhani kama watapata hizo athari zaidi yetu sie kwa ku push agenda za watu ambao hata kuwepo hawatakuwepo labda ktk maandamano zaidi ya ku gaslight tu

Naunga mkono maandamano ya amani ila kama ni yale na ule ni ushenzi 29OCT na kama isingetumika nguvu hiyo ndani ya siku tatu au nne nchi ingechomwa moto yote

Watangulie kwa amani wale wote walio tangulia kwenye haki kwa kupambania na kujua wanachotetea na hata wale walio pelekwa pelekwa kwa kutokujua hasa nini kinapiganiwa
Kwa meneno ya hawa wanao jifanya wana uchungu halisi wa hii nchi na baadhi wakiwa wapo mbali na sehemu husika lkn wanasukuma agenda zao za Ki siasa, Ki Imani na labda kuona nao watapata fursa kama watawala hawa wakianguka na labda nao waingie kwenye history kwamba eti nao walikuwa wakombozi na mashujaa
Mkuu Kuna watu wamepewa pesa kusafishia hii issue.

Njoo na account Yako ya dhamani

NB.weww ni mtu mwema sana sanaa
 
Unazungumziaje la watu kufuatwa majumbani mwao, kwenye maeneo yao ya biashara, kufyatuliwa na kuangamizwa?
Mie sisemi kwa hisia na kusikia nasema tu nikichoona huko barabarani haya ya nyumbani sina cha kusema na sijui hasa ilikuwaje
Na ndo maana nimesema kama ujuavyo pia ustadi wa hawa walinzi wetu labda ujuzi wa kukabiliana na hizi hali za taharuki hawakua nayo maana kiukweli nao kama wali paniki na pia jua kuna wenzao walianza kushambuliwa na baadhi ya vituo vyao kuchomwa moto na labda kwa kutokujua nini cha kufanya na ikapelekea maamuzi yawe ya ghafla na labda kujiamulia tu nini cha kufanya kwa mtu mwenyewe au kundi dogo kuliko ustadi na ujuzi wa kukabiliana na hali hizi zinapojotokeza kwa mfumo sahihi
na jumuishi

Kwa hilo la majumbani sina cha kusema ni wao ndo labda watatueleza ilikuwaje , lina ukweli upi au hao waliofatwa ndani wali wa sort out vipi au ni propaganda ya watetezi wa maandamno . Maana hapa tulipofika kuna propaganda nyingi kila mtu ku push karata yake kwa hizi pande mbili na ukweli halisi wengi hatuujui tunalishwa tu, mara unaambiwa sijui eneo fulani la nchi kapewa Uganda sijui yaani ni propaganda kwenda mbele

Tunao umia ni sisi ambao tupo neutral tunapelekwa pelekwa na agenda za watu zilizo fichika na za wazi
 
Mkuu maneno mengi ya ku kuleta mpasuko na ku trigger hii issue, hivi kutoka moyoni kwako kabisa je nawe utakuwepo hiyo 9 Dec au ni ku chochea tu na tu waraka kuandika waraka mrefu afu mnakaa pembeni

Au huyo Mange atakuwepo na watoto wake wale 3 au nae ndo hivyo kuleta amsha amsha afu mnakaa mbali na hapa mnaleta vifungu na kuleta maono ya ajabu ajabu

Mie nimepoteza watu wangu wa karibu hiyo 29 na makazi yangu na ilipoanza hiyo issue ni karibu lkn nasema ile haikuwa maandamano ni vurugu na wizi tu na sifurahii binaadam kupokwa maisha yake kwa namna yoyote ile , lakini hali ile ingeachwa kwa siku hata tatu nchi yote ingechomwa moto na naona kabisa ilikuwa inaleta vita ya wenyewe kwa yenyewe

Usiseme kisomi sababu upo mbali au hautashiriki kwa lolote , sie tulikuwa karibu na sehemu ya kiini cha hayo maadamano tumeona nature ya waandamanaji hao na nyie mnapaswa kufundisha watu namna ya kuandamana kwanza kuliko kuleta maneno mengi na ujuaji afu mnategemea watoto wa wengine tena masikini na wenye elimu haba ku push agenda zenu kwa gharama ya vifo, ulemavu na mengine mengi
We muongo tu, nyie ndio mnaitwa tcra wa ccm.

Mmeua sasa mnajidai wema, uliona wauaji nchi nzima?

Kafe na wewe hatukuhitaji na dodoki lako unaloishea ma ccm wenzako.

Unatengeneza ID mpya kuja kudanganya watu mitandaoni?

Wewe uliona kila kitu, sisi tulikuwa wapi kwa akili zako hizo?

Yani sisi hatukuona chochote uliona wewe kwa macho yako kila kitu, sisi hatukuwa na macho yetu kuona ushenzi uliofanywa na serikali na ccm yao?

Tutaandamana tena na tena na tena hizo brush zako kawadanganye watoto wadogo.

Mnaua halafu mnalipwa kuja kufungua ID mpya mitandaoni kudanganya watu wawaache ccm majambazi madarakani waendelee lutuua ma kutupoteza na kututeka?

Mpumbavu sana wewe.

Yeyote anye mjibu huyu mjinga anapoteza muda wake, humu.

Tujipange kwa mawe visu mapanga na hata mabomu ya petroli tutawashinda wahuni hawa.

Popote alipi ccm na polusi lipua na ukiweza ua, hiyo ndiyo lugha pekee wanaelewa?hawa vichwa maji.
 
Mie sisemi kwa hisia na kusikia nasema tu nikichoona huko barabarani haya ya nyumbani sina cha kusema na sijui hasa ilikuwaje
Na ndo maana nimesema kama ujuavyo pia ustadi wa hawa walinzi wetu labda ujuzi wa kukabiliana na hizi hali za taharuki hawakua nayo maana kiukweli nao kama wali paniki na pia jua kuna wenzao walianza kushambuliwa na baadhi ya vituo vyao kuchomwa moto na labda kwa kutokujua nini cha kufanya na ikapelekea maamuzi yawe ya ghafla na labda kujiamulia tu nini cha kufanya kwa mtu mwenyewe au kundi dogo kuliko ustadi na ujuzi wa kukabiliana na hali hizi zinapojotokeza kwa mfumo sahihi
na jumuishi

Kwa hilo la majumbani sina cha kusema ni wao ndo labda watatueleza ilikuwaje , lina ukweli upi au hao waliofatwa ndani wali wa sort out vipi au ni propaganda ya watetezi wa maandamno . Maana hapa tulipofika kuna propaganda nyingi kila mtu ku push karata yake kwa hizi pande mbili na ukweli halisi wengi hatuujui tunalishwa tu, mara unaambiwa sijui eneo fulani la nchi kapewa Uganda sijui yaani ni propaganda kwenda mbele

Tunao umia ni sisi ambao tupo neutral tunapelekwa pelekwa na agenda za watu zilizo fichika na za wazi
Nchi yetu tukiichoma moto inakuhusu nini?

Unakuwanja chako cha 40 x 40 hiyo ndiyo mali yako, public space ni mali yetu.

Umepoteza ndugu unadhani sisi tuliopteza mawe?

Hawa ndio kina Lucas Washamba wanakuja na ID mpya kutuletea utetezi wa kijinga.

Ulikuwa wapi watu walipokuwa walitekwa, kuteswa, kupotezwa na kuuwawa na hawa hawa ccm na walinzi wao jeshi la polisi?

Hukuona au hukujua watu walikuwa wanatekwa, wanapitezwa na ccm walijivunia hilo
Ukaona leo uje na utambulisho mpya kumtetea ndugu yako feki aliyeuwawa?

Unajua kupotelewa na ndugu wewe, nyie ndio watekaji wenyewe mnaojificha kwenye ID mpya.

Mjinga sana wewe, watu wa ngapi wameuwawa na ccm na jeshi lao la polisi, uliwahi kuonya au ulikuwa unasherehekea na ID yako yasiku zote?

Leo watanganyika tunajipa hamasa nasi tuwauwe ccm na polisi wao unaanzisha ID mpya unakuja na utetezi wa kijinga eti nimepoteza ndugu wa karibu, kina Soka, Mdude, kina Ali kibao kwako wale ni mafisi?

Tutakufa sisi tukiandamana, wewe unaumia nini ccm mjinga wewe?

Mijadara hii haikuhusu nenda kwenye ma group ya CCM huko mkajadiri ya kwenu humu tuachie sisi vibaka, AI na waporaji tujadiri maswala yetu.
 
We muongo tu, nyie ndio mnaitwa tcra wa ccm.

Mmeua sasa mnajidai wema, uliona wauaji nchi nzima?

Kafe na wewe hatukuhitaji na dodoki lako unaloishea ma ccm wenzako.

Unatengeneza ID mpya kuja kudanganya watu mitandaoni?

Wewe uliona kila kitu, sisi tulikuwa wapi kwa akili zako hizo?

Yani sisi hatukuona chochote uliona wewe kwa macho yako kila kitu, sisi hatukuwa na macho yetu kuona ushenzi uliofanywa na serikali na ccm yao?

Tutaandamana tena na tena na tena hizo brush zako kawadanganye watoto wadogo.

Mnaua halafu mnalipwa kuja kufungua ID mpya mitandaoni kudanganya watu wawaache ccm majambazi madarakani waendelee lutuua ma kutupoteza na kututeka?

Mpumbavu sana wewe.

Yeyote anye mjibu huyu mjinga anapoteza muda wake, humu.

Tujipange kwa mawe visu mapanga na hata mabomu ya petroli tutawashinda wahuni hawa.

Popote alipi ccm na polusi lipua na ukiweza ua, hiyo ndiyo lugha pekee wanaelewa?hawa vichwa maji.
Mie sio CCM wala sina Chama chochote mkuu na maisha yangu huwa siamini ktk mambo ya vyama au siasa sana mie naheshimu taratibu za jamii zinazoendana na maono, utashi na fikra zangu , siwezi na sina huo mpango eti kupigania chama au mtu kwa namna yoyote ile
Nilicho andika nimesema ndio nilicho kiona mie kwa eneo na mazingira nililo kuwepo na bila shaka kuna wadau hata humu waliona hivyo na kama wewe uliona au kusikia tofauti hiyo ndo inakua kweli yako usinilazimishe uonavyo wewe

Sijatetea Chama au mtu yoyote lkn naonyesha hali halisi na hila zinazofichwa na watu ili ku push agenda zao ziwe za wazi au za sirini, siendeshwi kwa maneno ya Haki,amani sijui nini wala nini au mihemko ya aina yoyote

Mie kwa mtizamo wangu Dola/CCM , Chadema na hao wahamasishaji na wanaharakati wote wamechangia kuua ndugu zetu na mie nawaweka ktk kapu moja

Samia kama Rais wa nchi anahusika

Lissu /Heche kwa maneno yao ya kuhamasisha vurugu na fujo kabla na siku ya uchaguzi nao ni wa husika na video zao zipo kwa matamshi yao

Mange /Maria kama wanaharakati na wahamasishaji nao wahusika kwa vifo vya ndugu na jamaa zetu kwa kutokutoa elimu sahihi ya kuandamana na kuwapa vijana ujasiri kwamba wakitoka kuna ulinzi kutoka taaisisi nyingine ya usalama

Gwajima nae anahusika ku initiate mambo haya na kuna kauli zake nyingi amesema kuhusu nchi itakavyo kwenda kama mambo na maslahi yake yasipotekelezwa nae pia kachangia kuua vijana wetu

Wapiga debe kuchagiza mtafaruku uwe endelevu kwa na labda kwa faida zao wenyewe wanazozijua ni baadhi ya maaskofu na TEC na sioni kama wana ongelea utengamano na any reconciliations kama Taifa

Hao kwa uchache mpaka sasa hivi ndo wahusika wakuu kwa upande wangu wa shida hii yote na hawa wote wahusika

Wakitaka amani ni wao na sie tuna wasihi warudishe silaha chini kwa faida ya wengi vinginevyo hawa ndo wanaenda ipasua nchi

Wewe ona unavyoona nami ndo naona hivyo na hakuna sababu ya wewe ku paniki na kutukana ni mtizamo wangu tu mkuu ndo maana ikaitwa jamii forum
 
Nchi yetu tukiichoma moto inakuhusu nini?

Unakuwanja chako cha 40 x 40 hiyo ndiyo mali yako, public space ni mali yetu.

Umepoteza ndugu unadhani sisi tuliopteza mawe?

Hawa ndio kina Lucas Washamba wanakuja na ID mpya kutuletea utetezi wa kijinga.

Ulikuwa wapi watu walipokuwa walitekwa, kuteswa, kupotezwa na kuuwawa na hawa hawa ccm na walinzi wao jeshi la polisi?

Hukuona au hukujua watu walikuwa wanatekwa, wanapitezwa na ccm walijivunia hilo
Ukaona leo uje na utambulisho mpya kumtetea ndugu yako feki aliyeuwawa?

Unajua kupotelewa na ndugu wewe, nyie ndio watekaji wenyewe mnaojificha kwenye ID mpya.

Mjinga sana wewe, watu wa ngapi wameuwawa na ccm na jeshi lao la polisi, uliwahi kuonya au ulikuwa unasherehekea na ID yako yasiku zote?

Leo watanganyika tunajipa hamasa nasi tuwauwe ccm na polisi wao unaanzisha ID mpya unakuja na utetezi wa kijinga eti nimepoteza ndugu wa karibu, kina Soka, Mdude, kina Ali kibao kwako wale ni mafisi?

Tutakufa sisi tukiandamana, wewe unaumia nini ccm mjinga wewe?

Mijadara hii haikuhusu nenda kwenye ma group ya CCM huko mkajadiri ya kwenu humu tuachie sisi vibaka, AI na waporaji tujadiri maswala yetu.
Ukisema nchi yako sijui yenu una maana ipi? Hiyo miliki uliyojipa wewe na kusema una haki kuchoma kakupa nani? Acha jazba mkuu na huyo Lucas ndo nani?

Sikia nchi yako kama unaweza kuichoma kama unavyotaka wewe hiyo sio nchi tena labda ni ka Mfano ka nchi .
na nyie ndo mnafanya sie Waafrika tutukanywe mno sababu ya namna ya kufikiri kwetu , usijipe ukubwa na umuhimu huo mkuu, wewe hauna tofauti na M Tanzania mwingine yoyote kama unavyotaka uheshimiwe mawazo yako na haki zako pia kubali kusikia haki na mawazo ya wengine hata kama haukubaliani nayo

Unataka demokrasia na hauishi ktk mifumo ya demokrasia na kingine mie sio Abdul wala Elvis unao wahisi wamechukua mali zako/zenu ndo labda unge channel hasira zako huko mkuu,
Mie labda kama wewe tu najipambania kupata ka ugali kangu na familia yangu na hicho chama ulichonipa mie sipo huko na sina chama chochote mkuu
Shida hamtaki watu wawe na fikra tofauti na mitizamo yenu, sie wengine tuna jitahidi tuwe na fikra huru ( sijasema fikra sahihi)
 
Back
Top Bottom