Googlemap
Senior Member
- Nov 7, 2025
- 121
- 49
Umeongea vizuri mie agenda yangu kuleta Amani na maelewano na huyo Mange ni sadist tu na kujiona mwenye akili kuliko wenzake na usifikiri haja pre meditate wapi atakapo enda faidika ki uchumi na hizo applause anazozitaka bila kujali hali halisi..kupush agenda ya nani..? dhuluma zinazofanywa na watawala zinamgusa kila mtu peke yake, Mange akikaa kimya anakosa nini..? kila mtu alikuja duniani peke yake, na kila mmoja ana wajibu yeye binafsi..wajibu wa Mange si wajibu wako..! fanya sehemu yako achana na habari ya mwingine, km hutaki kufanya kaa kimya, hakuna mtu anaishi kwa niaba ya mwingine!
Kama yeye au wewe ulivyo na haki zako za kuongea na kuelimisha kwa upande wako/wenu nami ni hivyo hivyo kwa upande wangu
Dhuluma zipo tena nyingi ila hiyo njia ya machafuko, vita na vurugu eti ndo kuondoa dhuluma ni kuua watu wengi na mbaya watu wengine hawa hawajui vizuri kinacho piganiwa ni kubebwa bebwa tu.
Itafutwe njia nzuri kwa madai hayo na kuondoa dhuluma sio tokeni pambaneni na ukiuliwa eti umekufa kwa kutetea nchi yako na unapewa ushujaa wa kinafiki halafu wenyewe wapo mbali na wale wa karibu wanaficha familia zao ndani na sie masikini na elimu zetu ndo hivyo tunalishwa ujasiri