Umeongea vizuri mie agenda yangu kuleta Amani na maelewano na huyo Mange ni sadist tu na kujiona mwenye akili kuliko wenzake na usifikiri haja pre meditate wapi atakapo enda faidika ki uchumi na hizo applause anazozitaka bila kujali hali halisi..kupush agenda ya nani..? dhuluma zinazofanywa na watawala zinamgusa kila mtu peke yake, Mange akikaa kimya anakosa nini..? kila mtu alikuja duniani peke yake, na kila mmoja ana wajibu yeye binafsi..wajibu wa Mange si wajibu wako..! fanya sehemu yako achana na habari ya mwingine, km hutaki kufanya kaa kimya, hakuna mtu anaishi kwa niaba ya mwingine!
Sikiliza ndugu, km kweli dhamira yako ni nyeupe si mara ya kwanza kusikia kwamba..Sijaona shida yao so far na kama ipo sio kwa ukubwa huo na wakuhatarisha amani yetu
lkn kama umeona wewe unaweza pia isema sio lazima niseme mie .
Mie hapa nimeangazia makundi yanayo push agenda zao zilizo wazi au zilizofichikana na hasa za Kisiasa, Ki imani na labda wengine ki maslahi na naona kama hawataki tuwe na amani kama nchi kwa kipindi hiki ( sijapinga madai yao nacho pinga namna wanavyotaka yatimizwe hayo madai kwa kutumia vitisho , shinikizo na kuleta vurugu na wahanga ni sie watu wa kawaida)
Samia yupo ikulu na sana akiona ndivyo sivyo labda atakimbia nchi ( japokuwa sitegemei hili kutokea hivi karibuni na inawezekana mkawa nae mpaka 2030)
Mange /Maria wapo nje na labda na familia zao kwa maana ya watoto wao na waume zao kama wapo
Heche/Lissu wanachotaka kukamata dola nao wakaanze kula kwa mrija wapo tayari kufanya chochote yao yaende
Gwajima kajificha anakula sadaka zake ki laini huku anasukuma kete zake hata Wa Tanzania wakifa hiyo sio shida zake yeye ni kulinda falsafa zake za ajabu ajabu na kujiona ana akili kuliko wengine na bingwa wa ku manipulate watanzania na kama ujuavyo upeo wetu wa kuona mambo
TEC/Maaskofu wana gonga mvinyo tu ndani nao wana sukuma kete hata mambo yakiharibika as long yao yanaenda
Tunao umia sie watu wa kawaida wenye elimu za hapa na pale na tumefunikwa na blanket kubwa la umasikini . Tunataka haki, amani na ustawi sio kwa kutoa damu zetu kwa faida ya hao . Malizeni ma shida yenu huko
Naunga mkono hoja CCM ife Kisha izikwe."Ili Tanzania ipone, ni lazima CCM ife"
Sioni namna nyingine yoyote ya kuiponya nchi wakati CCM ikiwa hai; hata kama haipo kwenye madaraka. Ni chama kilichoingiliwa na virusi wabaya sana wasioweza kuondolewa ndani ya chama ili kiendelee na shughuli zake kama kawaida
Hao virusi sugu ndani ya chama wataendelea kuwa wanavuruga mwelekeo wa nchi.
Unachosema ni sawa Haki ni kitu kikubwa na siyo wengi au wote wanaishi hizo hakiSikiliza ndugu, km kweli dhamira yako ni nyeupe si mara ya kwanza kusikia kwamba..
1. Kila binadamu alizaliwa peke yake na hivyo ana wajibu wa kufanya peke yake bila kushurutishwa na mtu..
2. Tafuta kufahamu wajibu wako km raia, baba/mama, ni nini..
3. Hakuna jambo binadamu anafanya jema au baya halina malipo, iwe sasa au badae..
4. Mola yupo na kati ya maneno limerudiwa mara nyingi kwenye vitabu vya dini ni HAKI
5. Siku zote tenda haki kwa kusema au kwa kutenda
Hayo mengine ya sijui agenda za watu ambazo huzisemi ni nadharia tu..ishi maisha ya uhalisia.