azyzy omary
JF-Expert Member
- Dec 8, 2020
- 863
- 1,293
Unajifunfisha wapi kakaNi kweli watoto wanalelewa kimama sana .Mimi mwenyewe hivi karibuni ndio nimeanza kuelewa nini maana ya kuwa Mwanaume na bado najifundisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajifunfisha wapi kakaNi kweli watoto wanalelewa kimama sana .Mimi mwenyewe hivi karibuni ndio nimeanza kuelewa nini maana ya kuwa Mwanaume na bado najifundisha.
1.Nasikiliza na kusoma sana.Unajifunfisha wapi kaka
Sawasawa1.Nasikiliza na kusoma sana.
2.Mbili naongea sana na wazee wangu na wajomba kuna mambo ambayo waliyoyafanya kama sio mwanaume utasanda tu.
Dr.Myles Munroe.Huyu natumia sana lecture zake na zina link ya Bible nenda youtube utakutana nazo chungu nzima.Sawasawa
Unasikiliza na kusoma maandiko yapi namm nikayapitie mana hisia bado zinaniendesha nimefaulu kwenye hasira tu ila kwenye kucheka bado sijaweza na kuna muda natamani hata mtu akichekesha nibaki normal tu ila nashindwa kujizuia kucheka
Msaada hapo kaka
Shukrani Sana kakaDr.Myles Munroe.Huyu natumia sana lecture zake na zina link ya Bible nenda youtube utakutana nazo chungu nzimshuk
Hiii kweli na umenikuta but Alhamdulillah nimekuwa alpha male sasaUnapokuwa mwanaume wa hisia hisia, ina maana ni rahisi kuumia, kupelekeshwa na chochote kilichopo mbele yako.
Hata hisia za za kufanya maamuzi bora zinapokujia, zinakushinda na unajikuta una jiumiza zaidi.
Japo akilini unajua ni mbaya lakini hisia zina nguvu na zinakushinda.
Kwasababu upo laini laini kihisia.
Mwanaume inabidi uwe ngangari kihisia, usiruhusu hisia zikuendeshe bali akili.
Wanaume wengi wanaendeshwa sana na hisia, hisia inayomjia ndiyo hiyo hiyo anafanyia kazi. Kama vile mwanamke.
Hii inatokana na dunia ya sasa inayo sema 'unaruhusiwa kuwa na hisia'Dunia ya kike. Feminized world.Inayochochea masculinity kufa.
Masculinity inaongozwa na akili, misimamo, heshima mipaka na malengo.Masculinity ndiyo uanaume wako.
Ndiyo dignity yako.Haitaki uendeshwe na hisia, bali na akili ili uweze kuongoza familia na mwanamke kwa akili.
Hisia waachie wanawake.Na sio kwamba umeshikiwa bunduki ukilazimishwa uwe na uendeshwe na hisia kama mwanamke Ia ni malezi na mambo unayoangalia mtandaoni au kwenye muvi.
Kadri unavyojiruhusu kuendeshwa na hisia, ndivyo unajisikia heshima yako inashuka.
Jichunguze na utaligundua hilo.Sababu hisia hisia ni kinyume cha masculinity.
Badala yake, jitoe kwenye hii fantasy ya kwamba 'mwanaume na wewe uwe na hisia'Hizo hisia zitakupelekesha na kuishia kujichua, kuwa dhaifu, kuendeshwa na mwanamke, kuwa muoga, n.k.Na uvae uanaume (masculinity). Kwa kutumia akili katika KILA jambo.
Ukitaka kutumia akili kirahisi, anza kwa kujiuliza kwanini/ why kwa kila jambo.
Halafu ufanye kitu kama why yake ina faida kwako, kwa familia yako, jamii na taifa lako.
Na hiyo why imfanye Mungu ajisikie proud kwamba amekuweka hai hadi leo.Acha kukubali kuendeshwa na hisia.
I mean no malice to nobody
View attachment 2960706
pole na ni safi Kama ume jifunza.Hiii kweli na umenikuta but Alhamdulillah nimekuwa alpha male sasa