Kaa kimasta kijana, hisia sio mzigo mzuri kwako

Mleta thread ni mhuni tu,mvuta bangi.
una weza ukawa sahihi mkuu, kwa kuwa kila mmoja ana Uhuru na nafasi ya kutoa maoni.

Ila kiukweli siko katika hayo uliyo yasema hapo, mi ni mmoja Kati ya watu wema na wastaarabu Sana.
Wanao nijua personal Wana Elewa.

I mean no malice to nobody
 
Unavyojitetea sasa...!🀣

Unanifurahisha sana ukionewa kidogo huchelewi kufungua risala hapa.

Kwema lakini mdogo wangu?
 
Hahaha, hapana ni ukubwa tu, these days Mimi sio bingwa wa vita (japo Nina reserve hiyo, 🀣).

Niko poa kabisa, sijui wewe huko?
 
Hizo ni mbwembwe tu, Ipo siku nitathibitisha kama si kupitia mimi basi hata watu wengine watakukorofisha ,ikiwa haya usemayo yatatekelezwa basi nitasema umekua kijana .

Karibu ulabu 🍻,baridi ni kali mno..!
 
Nime sema reserve IPO, of you cross a certain line kwa zaidi km 1.

Sometimes ni ku hype hype tu, na kuhusu urabu sija wahi tumia πŸ˜‚πŸ€£
 
Back
Top Bottom