Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #201
Naam panga mkononi, roho begani ๐Ka kawaida bega kwenye panga...
Roho mkononi ๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam panga mkononi, roho begani ๐Ka kawaida bega kwenye panga...
Roho mkononi ๐๐๐๐
Uko sahihi mkuu, na maamuzi ya hisia ni hatari kwa afya ya kijanaHisia zikikutawala, maamuzi mabovu pia yatatawala
Sija wahi kuwa motivation speaker, hizi nazo andika nime pitia situation hiyo.Motivation speaker wameanza ๐๐kuwakopesha Raha vijana wenzao
Jeni ndo nani sasa ๐๐๐๐๐Acha kukaa kwa aunt, Akati kina Jeni wapo ๐คฃ๐คฃ
Jeni ndo nani sasa ๐๐๐๐๐Acha kukaa kwa aunt, Akati kina Jeni wapo ๐คฃ๐คฃ
Jeni nime wazia tu๐คฃ๐Jeni ndo nani sasa ๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Jeni nime wazia tu๐คฃ๐
penseli grow up kiddo, shits ain't helping you at alllakini ulitaka kujinyonga kakaaaa๐คฃ๐คฃ๐คฃmisimamo hukua Nao kakaaa eee kakaaa๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Una penda wavaa abaya ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Kwanini usiseme zuhura, farida au Anna
pole kakapenseli grow up kiddo, shits ain't helping you at all
Ni utani tu kwani neno motivation Lina maana mbayaSija wahi kuwa motivation speaker, hizi nazo andika nime pitia situation hiyo.
And hata Niki inspire Kuna ubaya??, aisee jf ๐
Kuwa motiveshino spika umeanza lini ?Unapokuwa mwanaume wa hisia hisia, ina maana ni rahisi kuumia, kupelekeshwa na chochote kilichopo mbele yako.
Hata hisia za za kufanya maamuzi bora zinapokujia, zinakushinda na unajikuta una jiumiza zaidi.
Japo akilini unajua ni mbaya lakini hisia zina nguvu na zinakushinda.
Kwasababu upo laini laini kihisia.
Mwanaume inabidi uwe ngangari kihisia, usiruhusu hisia zikuendeshe bali akili.
Wanaume wengi wanaendeshwa sana na hisia, hisia inayomjia ndiyo hiyo hiyo anafanyia kazi. Kama vile mwanamke.
Hii inatokana na dunia ya sasa inayo sema 'unaruhusiwa kuwa na hisia'Dunia ya kike. Feminized world.Inayochochea masculinity kufa.
Masculinity inaongozwa na akili, misimamo, heshima mipaka na malengo.Masculinity ndiyo uanaume wako.
Ndiyo dignity yako.Haitaki uendeshwe na hisia, bali na akili ili uweze kuongoza familia na mwanamke kwa akili.
Hisia waachie wanawake.Na sio kwamba umeshikiwa bunduki ukilazimishwa uwe na uendeshwe na hisia kama mwanamke Ia ni malezi na mambo unayoangalia mtandaoni au kwenye muvi.
Kadri unavyojiruhusu kuendeshwa na hisia, ndivyo unajisikia heshima yako inashuka.
Jichunguze na utaligundua hilo.Sababu hisia hisia ni kinyume cha masculinity.
Badala yake, jitoe kwenye hii fantasy ya kwamba 'mwanaume na wewe uwe na hisia'Hizo hisia zitakupelekesha na kuishia kujichua, kuwa dhaifu, kuendeshwa na mwanamke, kuwa muoga, n.k.Na uvae uanaume (masculinity). Kwa kutumia akili katika KILA jambo.
Ukitaka kutumia akili kirahisi, anza kwa kujiuliza kwanini/ why kwa kila jambo.
Halafu ufanye kitu kama why yake ina faida kwako, kwa familia yako, jamii na taifa lako.
Na hiyo why imfanye Mungu ajisikie proud kwamba amekuweka hai hadi leo.Acha kukubali kuendeshwa na hisia.
I mean no malice to nobody
View attachment 2960706
Mada iko sahihi na kwenye uhalisia sana, ila ametumia mfano wa kujichua ambao siyo sahihi sana.
Ewaaaah au kijora......Una penda wavaa abaya ๐
abaya na kijora ni tofauti๐๐คฃEwaaaah au kijora......
So poa unaambiwa
Hii ni toka jana mpaka leo
Ngoja nile kwanza .abaya na kijora ni tofauti๐๐คฃ
Huja funga zile suna?Ngoja nile kwanza .
Nitakuja kujibu ๐๐๐