Kaa kimasta kijana, hisia sio mzigo mzuri kwako

Kaa kimasta kijana, hisia sio mzigo mzuri kwako

Analyse huyu mtoto ndezi kweli, Poor Brain acha kukaa kwa aunt Akati madem wapo🀣🀣
Ant yeye sio mkaaji hivo nakua hapa kusaidia kukaliza nyumba mkuu
Au ni vibaya na kila kitu kipo.
Ya nini nikateseke.. au kuteseka sifa mkuu 😬😬😬😬😬
Acha ku complicate mambo wewe na mwenzako Analyse
 
Back
Top Bottom