Kaa kimasta kijana, hisia sio mzigo mzuri kwako

Kaa kimasta kijana, hisia sio mzigo mzuri kwako

Niongeze jambo hapo mkubwa

Ukitaka maisha yako yakunyookee, usiogope kuwa strict katika mambo yote ya msingi bila ya kuvunja sheria za nchi. Kamwe! Usitake kusifiwa kwa kuwapendeza watu ili hali unafahamu dhahir kabisa madhara yatakayokutokea baada ya muda fulani.
Achana na mambo ya kujifanya uonekane ni gud person. Do what is always right.
uko sahihi mkuu, sometimes Watu Wana tujaribu ila ni kukazia hapo tu
 
Unapokuwa mwanaume wa hisia hisia, ina maana ni rahisi kuumia, kupelekeshwa na chochote kilichopo mbele yako.

Hata hisia za za kufanya maamuzi bora zinapokujia, zinakushinda na unajikuta una jiumiza zaidi.

Japo akilini unajua ni mbaya lakini hisia zina nguvu na zinakushinda.
Kwasababu upo laini laini kihisia.

Mwanaume inabidi uwe ngangari kihisia, usiruhusu hisia zikuendeshe bali akili.
Wanaume wengi wanaendeshwa sana na hisia, hisia inayomjia ndiyo hiyo hiyo anafanyia kazi. Kama vile mwanamke.

Hii inatokana na dunia ya sasa inayo sema 'unaruhusiwa kuwa na hisia'Dunia ya kike. Feminized world.Inayochochea masculinity kufa.
Masculinity inaongozwa na akili, misimamo, heshima mipaka na malengo.Masculinity ndiyo uanaume wako.

Ndiyo dignity yako.Haitaki uendeshwe na hisia, bali na akili ili uweze kuongoza familia na mwanamke kwa akili.

Hisia waachie wanawake.Na sio kwamba umeshikiwa bunduki ukilazimishwa uwe na uendeshwe na hisia kama mwanamke Ia ni malezi na mambo unayoangalia mtandaoni au kwenye muvi.

Kadri unavyojiruhusu kuendeshwa na hisia, ndivyo unajisikia heshima yako inashuka.

Jichunguze na utaligundua hilo.Sababu hisia hisia ni kinyume cha masculinity.

Badala yake, jitoe kwenye hii fantasy ya kwamba 'mwanaume na wewe uwe na hisia'Hizo hisia zitakupelekesha na kuishia kujichua, kuwa dhaifu, kuendeshwa na mwanamke, kuwa muoga, n.k.Na uvae uanaume (masculinity). Kwa kutumia akili katika KILA jambo.

Ukitaka kutumia akili kirahisi, anza kwa kujiuliza kwanini/ why kwa kila jambo.
Halafu ufanye kitu kama why yake ina faida kwako, kwa familia yako, jamii na taifa lako.

Na hiyo why imfanye Mungu ajisikie proud kwamba amekuweka hai hadi leo.Acha kukubali kuendeshwa na hisia.

I mean no malice to nobody
View attachment 2960706
Hapo kwenye A fish 🐟 unyama Sanaa 😊😊😊
 
Back
Top Bottom