mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
kaza kimasta brazaKama mimi hisia zinanipelekesha sanaa
zishushe mapumbuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaza kimasta brazaKama mimi hisia zinanipelekesha sanaa
Aisee! Sina hayo madude😂kaza kimasta braza
zishushe mapumbuni
hisia hazina shidaAisee! Sina hayo madude😂
Najitahidihisia hazina shida
unatakiwa ujue jinsi ya kuzidhibiti
Asante sana young bro. I am humbled. Stay blessed 🙏🏿🙏🏿🙏🏿Huwa Sina Tabia ya kumfolow mtu kirahisi rahisi, no hate!.
But niliona ninaa vingi vya kuji funza kwa mtu huyo, basi I just click the button.
Leo nime piga salute kwa Shimba ya Buyenze, i mean no malice to nobody
Pamoja mkubwa, more loves less ego, i mean no malice to nobodyAsante sana young bro. I am humbled. Stay blessed 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
#You mean no malice to nobody#
Dah ila mshamba😀🤣,kaza kimasta braza
zishushe mapumbuni
Poor Brain Sikaribishi mtu home 😀🤣🤣, maana Akili hizi ni gongo iliyo chacha.Kama washikaji zako hawamtamani mkeo ujue umeoa kituko 😂
Kaka Zulu man nime kuelewa, halafu mbona Nina nyuzi nyingi nzuri tu😀😂.Nimefurahi kuona thread ya kijana wangu,nami nasema "Naaam kijana amekua sasa"
Ila ile siku ungekuwa na akili hizi,sidhani kama yangetokea yale yaliyotokea na nafikiri ulikosa subira ya ku control hisia za ajabu ajabu.
Ulishindwa kuuva uanaume na mwisho ukauvaa uvulana,nitasema "Naaaam" zikitokea changamoto kama zile nikiona nitaona umevaa ujasiri na akili zenye akili.
Wewe huja wahi kabisa kuwa na hizo akili😀🤣Sidhani kama sina adabu
AlrightNoted mkuu
Pamoja sanaHuu UZI upo Kimasta sana Bingwa. Congrats
Word...Unapokuwa mwanaume wa hisia hisia, ina maana ni rahisi kuumia, kupelekeshwa na chochote kilichopo mbele yako.
Hata hisia za za kufanya maamuzi bora zinapokujia, zinakushinda na unajikuta una jiumiza zaidi.
Japo akilini unajua ni mbaya lakini hisia zina nguvu na zinakushinda.
Kwasababu upo laini laini kihisia.
Mwanaume inabidi uwe ngangari kihisia, usiruhusu hisia zikuendeshe bali akili.
Wanaume wengi wanaendeshwa sana na hisia, hisia inayomjia ndiyo hiyo hiyo anafanyia kazi. Kama vile mwanamke.
Hii inatokana na dunia ya sasa inayo sema 'unaruhusiwa kuwa na hisia'Dunia ya kike. Feminized world.Inayochochea masculinity kufa.
Masculinity inaongozwa na akili, misimamo, heshima mipaka na malengo.Masculinity ndiyo uanaume wako.
Ndiyo dignity yako.Haitaki uendeshwe na hisia, bali na akili ili uweze kuongoza familia na mwanamke kwa akili.
Hisia waachie wanawake.Na sio kwamba umeshikiwa bunduki ukilazimishwa uwe na uendeshwe na hisia kama mwanamke Ia ni malezi na mambo unayoangalia mtandaoni au kwenye muvi.
Kadri unavyojiruhusu kuendeshwa na hisia, ndivyo unajisikia heshima yako inashuka.
Jichunguze na utaligundua hilo.Sababu hisia hisia ni kinyume cha masculinity.
Badala yake, jitoe kwenye hii fantasy ya kwamba 'mwanaume na wewe uwe na hisia'Hizo hisia zitakupelekesha na kuishia kujichua, kuwa dhaifu, kuendeshwa na mwanamke, kuwa muoga, n.k.Na uvae uanaume (masculinity). Kwa kutumia akili katika KILA jambo.
Ukitaka kutumia akili kirahisi, anza kwa kujiuliza kwanini/ why kwa kila jambo.
Halafu ufanye kitu kama why yake ina faida kwako, kwa familia yako, jamii na taifa lako.
Na hiyo why imfanye Mungu ajisikie proud kwamba amekuweka hai hadi leo.Acha kukubali kuendeshwa na hisia.
I mean no malice to nobody
View attachment 2960706
Pamoja sana mkuuWord...