Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Nime gusa penyewe ππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nime gusa penyewe ππππ
Mzee wa ma youtong kumbe upo hata huku ππππππππUmeniwahi. Siku ile hisia zilimzidia mpaka aka-mean malice to everybody na kuvuka mipaka. Ajabu sasa hata waliojitolea kumkanya nao hakuwasikiliza. Hisia!
Mimi nadhani hisia hazizuiliki maana ni sehemu ya uumbaji. Hata watu wa Evolutionary Biology watakwambia kwamba hisia ni kitu cha lazima. Hata ukienda Serengeti utaona. Dume la Simba pure Alpha male tena kwenye prime yake na linaloongoza familia yake kubwa kibabe kuna wakati linazidiwa na hisia hasa kwa watoto, wake zake, marafiki n.k. Madume ya nyani, hali kadhalika. Na viumbe wengine.
Cha muhimu nadhani ni kujua wapi hisia zinafaa kutumika; na wapi hazifai. Na hili si jambo rahisi maana hisia na uchanuzi wake kunachangiwa na mambo mengi sana mchangamano yakiwemo mazingira, malezi, mtazamo wa jamii, makuzi, mfumo wa elimu, peer pressure, mtazamo wa dini na mengineyo mengi.
Kwa sasa hali ni mbaya zaidi kwa sababu mtoto wa kiume ni kama vile ametelekezwa na jamii ili ajipambanie mwenyewe. Nguvu zote zimewekezwa kwa mtoto wa kike wakati ukiangalia kwa hali ya sasa mtoto wa kiume pengine ndiye ana changamoto zaidi hasa ukizingatia kuwa yeye ndiye bado anategemewa kuwa mlinzi, mtoaji, kuhani na baba wa familia yake huko mbele ya safari.
Kusema tu kwamba mwanaume hapaswi kuwa na hisia hasa katika mazingira haya ya sasa sidhani kama inasaidia sana maana hisia siyo kitu halisi kinachoota na kukua tu ghafla katika ombwe bali ni majumuisho ya jumla ya uzoefu wote wa mtu anaoupata katika miaka yake yote aliyoishi hapa duniani.
Inabidi kuwaza kwa kina zaidi kama kweli tunataka kumsaidia mtoto/kijana wa kiume ili aweze kujinasua kutoka katika mitego mingi inayomkabili hasa katika dunia hii ya sasa iliyojaa mambo ya kike kike na uke uke!
Uko sahihi mkubwa, na nilisha zungumzia na kuomba radhi.Umeniwahi. Siku ile hisia zilimzidia mpaka aka-mean malice to everybody na kuvuka mipaka. Ajabu sasa hata waliojitolea kumkanya nao hakuwasikiliza. Hisia!
Mimi nadhani hisia hazizuiliki maana ni sehemu ya uumbaji. Hata watu wa Evolutionary Biology watakwambia kwamba hisia ni kitu cha lazima. Hata ukienda Serengeti utaona. Dume la Simba pure Alpha male tena kwenye prime yake na linaloongoza familia yake kubwa kibabe kuna wakati linazidiwa na hisia hasa kwa watoto, wake zake, marafiki n.k. Madume ya nyani, hali kadhalika. Na viumbe wengine.
Cha muhimu nadhani ni kujua wapi hisia zinafaa kutumika; na wapi hazifai. Na hili si jambo rahisi maana hisia na uchanuzi wake kunachangiwa na mambo mengi sana mchangamano yakiwemo mazingira, malezi, mtazamo wa jamii, makuzi, mfumo wa elimu, peer pressure, mtazamo wa dini na mengineyo mengi.
Kwa sasa hali ni mbaya zaidi kwa sababu mtoto wa kiume ni kama vile ametelekezwa na jamii ili ajipambanie mwenyewe. Nguvu zote zimewekezwa kwa mtoto wa kike wakati ukiangalia kwa hali ya sasa mtoto wa kiume pengine ndiye ana changamoto zaidi hasa ukizingatia kuwa yeye ndiye bado anategemewa kuwa mlinzi, mtoaji, kuhani na baba wa familia yake huko mbele ya safari.
Kusema tu kwamba mwanaume hapaswi kuwa na hisia hasa katika mazingira haya ya sasa sidhani kama inasaidia sana maana hisia siyo kitu halisi kinachoota na kukua tu ghafla katika ombwe bali ni majumuisho ya jumla ya uzoefu wote wa mtu anaoupata katika miaka yake yote aliyoishi hapa duniani.
Inabidi kuwaza kwa kina zaidi kama kweli tunataka kumsaidia mtoto/kijana wa kiume ili aweze kujinasua kutoka katika mitego mingi inayomkabili hasa katika dunia hii ya sasa iliyojaa mambo ya kike kike na uke uke!
Yaani watu wakishakuhukumu basi unalo dah!Mzee wa ma youtong kumbe upo hata huku ππππππππ
HakunaNime gusa penyewe ππππ
Sikuona nadhani. Yalishapita hayo. Tuendelee na mada yetu nzuri ππΏUko sahihi mkubwa, na nilisha zungumzia na kuomba radhi.
Na nili kutag pia, guess huhukuona.
Pia huwa natukana kama mtu akivuka mipaka πππππππππππππNaam chotara la kichina

πππππππππ Kijana hovyoHakuna
Pamoja mkubwa, shabiki yako mzuri wa kalamu pendwa, sio zile za ma yutong mlizo sema hapo juuπ€£πππSikuona nadhani. Yalishapita hayo. Tuendelee na mada yetu nzuri ππΏ
Uko sahihi mkuuSomo muhimu sana kwa mtoto wa kiume dunia ya leo
Aje kusema ndoa ni utapeli au ππππππ
Hebu Lete nione hapo pa nyetoππ€£, hisia zote mzeeUmeanza na kujichua!!
Kujichua nako ni kupoteza uanaume??
Ngono pia ni hisia ila hujaitaja, umeitaja nyeto tu!!
πππππππππhisia mbaya sana utajikuta umeoa mwanamke mweupe mrefu mwenye tako alafu kwa maskini utakuwa mtumwa kwa mashemeji hadi ukome