Kaa kimasta kijana, hisia sio mzigo mzuri kwako

Kaa kimasta kijana, hisia sio mzigo mzuri kwako

Mrembo yule ngumi labda afanye mazoezi sanaa
Sema yule mpinzani wake nae anapiga bila huruma dada kama Teja🧐, Kuna ngumi Moja hv ya wadada aisee Moja ni msoja mwngn ni binti mdogo mlaini yule mdada alikabonda kale katoto mpaka nikashindwa kuangalia
 
Niongeze jambo hapo mkubwa

Ukitaka maisha yako yakunyookee, usiogope kuwa strict katika mambo yote ya msingi bila ya kuvunja sheria za nchi. Kamwe! Usitake kusifiwa kwa kuwapendeza watu ili hali unafahamu dhahir kabisa madhara yatakayokutokea baada ya muda fulani.
Achana na mambo ya kujifanya uonekane ni gud person. Do what is always right.
 
Back
Top Bottom