Kaa kimasta kijana, hisia sio mzigo mzuri kwako

1.Nasikiliza na kusoma sana.
2.Mbili naongea sana na wazee wangu na wajomba kuna mambo ambayo waliyoyafanya kama sio mwanaume utasanda tu.
Sawasawa

Unasikiliza na kusoma maandiko yapi namm nikayapitie mana hisia bado zinaniendesha nimefaulu kwenye hasira tu ila kwenye kucheka bado sijaweza na kuna muda natamani hata mtu akichekesha nibaki normal tu ila nashindwa kujizuia kucheka

Msaada hapo kaka
 
Dr.Myles Munroe.Huyu natumia sana lecture zake na zina link ya Bible nenda youtube utakutana nazo chungu nzima.
 
Hiii kweli na umenikuta but Alhamdulillah nimekuwa alpha male sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…