Kaa mbali sana na mtu unayejua au unayehisi anakuchukia

Shinnok

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2019
Posts
236
Reaction score
564
Ukiona mtu damu yako na yake haziendani yani hakukubali kaa naye mbali jiepushe naye kabisa kaa naye mbali.

Kama unanamba yake ifupe upesi usiangalie status zake wala wewe asiangalie status zako.

Haijalishi ni shangazi mjomba rafiki nk kwa kuwa tu damu zenu haziivi jiepushe naye
 
Ila ujue tu kuwa sometimes huwa wanahitajika kusolve baadhi ya matatizo yako kwahiyo usifute namba labda kumkaushia tu.
 
sawa
 
Mbona haujatoa sababu?

Vipii kama anakuchukia lakini una benefit kutoka kwake????
 
Umenena mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…